Rais Samia: Polisi angalieni upya taratibu zenu za upelelezi, kuwaweka watu mahabusu muda mrefu ni gharama kwa Serikali

Rais Samia: Polisi angalieni upya taratibu zenu za upelelezi, kuwaweka watu mahabusu muda mrefu ni gharama kwa Serikali

Unakuwa na Reasoning alafu unapata assessment IV or zero 🤣 🤣 ? Jeshi la polisi halihitaji mtu smart hata siku moja,na huu ndo ukweli mchungu.
Mitulinga mingi na akili kidogo ndizo qualifications za jeshi.
 
Ni vyema kabla ya kuhukumu ungesikiliza hotuba yote, huyu John yeye kachomoa kakipande kadogo sana katika hili, Rais kaongea kirefu zaidi, nimemsikiliza mwanzo mwisho, ingia you tube ya tbc kuna hiyo hotuba yote, then utacomment ukiwa full informed
This is one of the take home msg, to me inatosha
 
Mitulinga mingi na akili kidogo ndizo qualifications za jeshi.
Reputation ya Taasisi inaanza kuangaliwa kwanzia entry qualifications-Mfano BOT,huwezi kukuta DIV 4 mule kwa sababu kazi inahitaji weledi na siyo porojo,Polisi kila siku wanashindwa mahakamani sababu ya kutumia watu wenye uwezo mdogo kiakili kupambana na watu wenye uelewa mpana. 🤣 🤣
 
UDSM miaka ya tangu uhuru mpaka 1980s, kubaki pale ni GPA ya 4.5 and above. And that is when UDSM was a place of intellectuals! Baada ya kuja siasa za wizi wa mitihani ndio hao polisi wanakwenda UDSM kusoma.
 
Polisi wanaendeshwa na njaa tu wao wakikukamata wanapiga mahesabu huyu tumtengenezee kesi gani ili atoe hela ya kutosha wao hawangalii ana kesi ya kujibu au hana kesi ya kujibu njaa tu ndio inawaendesha...
 
Anatakiwa apate kazi inayoendana na hiyo division 4 yake short of that utakuwa unamtwisha mzigo mkubwa unaozidi uwezo wake...
Polisi walikuwa wanafanya maigizo mpaka mwendazake aliyekuwa anawatuma akawaona hawabebeki,Mwendazake akaishia kuwaambia jeshi la polisi "Watanzania siyo wajinga kiasi hcho"🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom