Rais Samia: Polisi angalieni upya taratibu zenu za upelelezi, kuwaweka watu mahabusu muda mrefu ni gharama kwa Serikali

2030 linaingia bulldozer lingine, na lichama lao lishajifia!! Walisema wataandamana, wametulizwa wanabaki kulia lia
 
INGEPENDEZA ZAIDI MAMA AKAZIBA HIYO LOOPHOLE POLISI WANAYOTUMIA KUONEA NA KINYANYASA WATU.
 
Mabandiko kama haya kiukweli yanasaidia sana. Kwanza someni nilishauri nini,

Soma ushauri wangu kwenye bandiko hilo, auangalie rais Mama Samia ameagiza mini.
P
 
Kwa jinsi watendaji wa serekali wasivyomchukulia Samia seriously, hakuna kitu itafanyika hapo!
 
Angeanza kuwaonya kuhusu kesi ya Mbowe. Kati ya vitu vinavyo mvunjia heshima Mama Samia ni hii kesi ya kubambika ya Mbowe. Mama amepoteza mvuto kwa watu kwa kushindwa kukemea hili jambo. Pia hii kesi ina lichafua Taifa.
 
Mkuu, zamani ningekuwa mtu wa kwanza kufungua bandiko lako but tangu ulivyojiunga na watesi wa nchi hii - hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Ukweli wa ubora wa elimu ya mapolisi tutauona katika kesi ya Mbowe wakati IGP Sirro atakapo henyeshwa maswali yaliyoenda shule isitokee hili maza kaingizwa kingi Muda ni Mwalimu
 
Alisema Mkapa, Kikwete, Magufuli na hakuna kilichofanyika. Na Rais wa kumi nae atasema hivi hivi...
 
Mama yuko very smart, anajielewa na anajitambua. May Allah bless u Mama Samia.
 
Ma WP waanze dojo za kunenepesha matiti mana anayahusudu kweri kweri [emoji1][emoji1]
 
Hii nayo ni siasa ya kutafutia ujiko?

Nchi imefikia hatua hii, bado tulikuwa tunawaza jinsi ya kulisemea hili ili tufaidike nalo?
 
Aisee ikitokea nikawa Rais wananchi watafurahi Sana sema haya Mambo ya vyama yananichanganya aloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…