beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Baadhi ya Watumishi wa Jeshi la Polisi wanashutumiwa kutofanya Haki kwa Jamii, akisema hali hiyo inapotokea Jeshi linakuwa mstari wa mbele kujitetea pasipo kuangalia upande wa pili.
Ametolea mfano tukio la uvamizi wa bucha za nyama miezi kadhaa iliyopita na kusema "Walipolalamika mkasema tumefanya vile kwa Sheria. Lakini ukiangalia kwa undani kilichotendeka hakuna Sheria"
Aidha, amelitaka Jeshi la Polisi kuangalia matumizi makubwa ya nguvu akisema kesi za watu kupoteza maisha katika Vituo vya Polisi havileti picha nzuri.