Haya nayo ni sawa na Nyerere aliposema "kwa katiba hii mkipata kiongozi mwenye elements za u dictator mtatawaliwa ki dictator ". Na akaishia hapo bila kuifanyia katiba hiyo mabadiliko. Leo tunawaona wenye kiu na madaraka wakiitumia watakavyo .Baadhi ya Watumishi wa Jeshi la Polisi wanashutumiwa kutofanya Haki kwa Jamii, akisema hali hiyo inapotokea Jeshi linakuwa mstari wa mbele kujitetea pasipo kuangalia upande wa pili....
Hapo atawapongeza kwa kutimiza lile neno lake; "hata tusipowachagua wao ndio watatangazwa washindi", hiki anachoongea Samia ni usanii mtupu.Mbona walikuwa wanakimbia na moboksi ya kura wakati wa uchaguzi
hilo halisemi
Tamko la kizembe sana hili, tena bila hatua madhubuti.Baadhi ya Watumishi wa Jeshi la Polisi wanashutumiwa kutofanya Haki kwa Jamii, akisema hali hiyo inapotokea Jeshi linakuwa mstari wa mbele kujitetea pasipo kuangalia upande wa pili
Ametolea mfano tukio la uvamizi wa bucha za nyama miezi kadhaa iliyopita na kusema "Walipolalamika mkasema tumefanya vile kwa Sheria. Lakini ukiangalia kwa undani kilichotendeka hakuna Sheria"
Aidha, amelitaka Jeshi la Polisi kuangalia matumizi makubwa ya nguvu akisema kesi za watu kupoteza maisha katika Vituo vya Polisi havileti picha nzuri
πππππHuyu mama naye mnafki sana
Baadhi ya Watumishi wa Jeshi la Polisi wanashutumiwa kutofanya Haki kwa Jamii, akisema hali hiyo inapotokea Jeshi linakuwa mstari wa mbele kujitetea pasipo kuangalia upande wa pili.
Ametolea mfano tukio la uvamizi wa bucha za nyama miezi kadhaa iliyopita na kusema "Walipolalamika mkasema tumefanya vile kwa Sheria. Lakini ukiangalia kwa undani kilichotendeka hakuna Sheria"
Aidha, amelitaka Jeshi la Polisi kuangalia matumizi makubwa ya nguvu akisema kesi za watu kupoteza maisha katika Vituo vya Polisi havileti picha nzuri.
Level ya PhDHuyu mama naye mnafki sana
Analaumu hali ye ndo chanzoHaya nayo ni sawa na Nyerere aliposema "kwa katiba hii mkipata kiongozi mwenye elements za u dictator mtatawaliwa ki dictator ". Na akaishia hapo bila kuifanyia katiba hiyo mabadiliko. Leo tunawaona wenye kiu na madaraka wakiitumia watakavyo .
Huyu nae analilaumu bila kuamuru mabadiliko kwenye udhaifu anaouona.