Rais Samia, Polisi wabubujikwa machozi ya uoga Siku ya Uhuru! Hawaamini kama hawa ni Watanganyika!

Rais Samia, Polisi wabubujikwa machozi ya uoga Siku ya Uhuru! Hawaamini kama hawa ni Watanganyika!

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Hivi machozi ya uoga yakiwa yanatoka ndio yanakuwa yanatetema eeeeh? Eti mtaalam wa machozi Lucas Mwashambwa, Dr. Mwigulu Nchemba?🌚🌚

Rais Samia haamini kile anachokiona, yaani wananchi hawa hawa masikini, malofa, wanyonge leo ndio wanamtetemesha hivi? WHO ARE THEY? Yaani WHO ARE THEM, WHICH, WHOSE, WHAT? :BearLaugh::BearLaugh:

Siku moja anaingia gharama kibao, za kutoa posho, vyakula na bado raia ndio kwanza zinapata mzuka! Sasa bora angeacha tu wananchi tuandamane free?😂😂😂

Siku ya kwanza hiyoooo inayoyoma, wananchi wamefanya vizuri sana, wameshasoma mazingira kesho ni mambo mapyaaaaaaa!

Je, ataweza kohold vyombo vya dola barabarani mpaka lini? Kumbuka kesho ni siku ya kazi, eheee hali itakuwaje? Ukaguzi utaendelea kila baada ya sekunde mbili au watumishi wa umma wote watapewa likizo ya lazima?

Patamu hapo, kila kitu ni cha moto, hakishkiki.
 
Ujinga mtupu,vijana fanyeni KAZI.
IMG_0904.jpeg

nikuokotee mawe sahv
 
Mi nacheka tu, sina sababu hata Moja ya kuweweseka. Isitoshe, kwa tafsiri isiyo rasmi sana ya neno 'kuweweseka', wewe ndiye unayeweweseka hapa.
🤣🤣🤣🤣 moja haikai mbili haisamami, hata chakula cha kuwapa misukule yenu barabarani tabu.... bado hamjasema... ngoma bado mbichiiiiiiiiiii
 
MWANANCHI KATAA KUFATA MKUMBO ,

USIKUBALI KUICHOMA NCHI YAKO YA TANZANIA , HATUNA NCHI NYINGINE ZAIDI YA HII .

USIFATE MKUMBO WA WATU WALIOLIPWA KULETA TAHARUKI
 
Kesho tena genz tiktok wamenifurahisha bado wanahimizana
 
Back
Top Bottom