Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Inafahamika kabisa kwamba, kiongozi mkuu akiwa strong, hata walio chini wanafuata mle mle, na akiwa vinginevyo, na wa chini nao hivyo hivyo
Kama ni gari, imetumika sana na kwa muda mrefu bila kubadirishiwa oil na vifaa vilivyoharibika, na sasa gari limechoka, mwendo wake ni wa sjui tunakwenda, tumesimamaa na au tunarudi nyuma nyuma, maana haieleweki
Pesa za miradi zinapigwa mpaka zinaguna yaani, makampuni ya kigeni nayo yanajipigia tu pesa kwa kesi za hovyo hovyo tu kutokana na ubutu na ama njaa za wana wanasheria wa serikali, jibu la haya limekuwa jepesi sana, tunaishia kulaumu waliopita? Kweli? Mbona hakukuwahi kufunguliwa kesi kipindi cha tunaowalaumu? Hakuna mikono ya Watanzania kwenye kesi na madai haya kweli?
Kuna wakati, kama kiongozi ni mhimu kujua pia, adui wa mtu, huwa ndani ya nyumba yake,
Haiwezekani tunalipishwa mabilioni ya pesa, viongozi wenzako badala ya kusikitika na pengine wakushauru na kukupa njia za kufanya, wao wanasema, mama na hapo umeupiga mwingi! Ninamashaka huwenda haya mabilioni tunayolipa nje, kuna mitanzania inagawana tu kushirikiana na hao mabwana!
Ni ngumu kuamini, miaka sita yote ipite, hakuna kampuni lililoamua kuishitaki serikali kwa kipindi hiko, ila baada tu ya kupita huo uongozi, kesi na madai yamekuwa kila sehemu nje ndani tunashitakiwa tu, kila siku tunalipa tu, ifike mahali, kufanywe uchunguzi juu ya mambo haya!
Wafanya biashara nao wanaonekana ndio waamzi wa jinsi wananchi wanapaswa watumie pesa zao kujipatia mahitaji yao, bidhaa zinazidi kuwa za kurukia tu kwenda juu,
Maofisi ya umma napo, wananchi hawapewi huduma kwa hiari mpaka rushwa ndio wahudumiwe
Umeme nao unatia hasara tupu wananchi na biashara zinasuasua!
Wafugaji nao wanajuta kuwa na mifugo kwenye nchi hii, wanatamani wahamie Malawi ila kipondo wanachokutana nacho huko, mamaa yangu
Kelele kila pahala,
Tanzania bila uongozi wa Kidikiteta haiwezekani!