Akikaa kimya ataonekana amekubali kwa hiyo lazima ajitutumue kama hiviNi swala la muda tu bora angekaa kimya
Hoja za Kitima na za Gwajima bado zinasimama. Kwa Samia kuna kibri cha mamlaka.Sauti ya utawala sasa hiii
Father kitima sijui alikuwa anajiona nani
sijui mshauri wake ni naniAkikaa kimya ataonekana amekubali kwa hiyo lazima ajitutumue kama hivi
Lightning first then thunder broThere is always thunder before lightning.
Anguko linakuja kwa kasi.
Huyu mbwa mfu nimeamini anaondokaThere is always thunder before lightning.
Anguko linakuja kwa kasi.
Miaka yote nilikuwa mpitaji na msomaji wa nyuzi za wana JF, lakini sikuwahi kujisajili na kwa maana hiyo sikuwahi kutoa hoja yeyote.Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia taifa katika Mkutano na wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2, 2025 amesema serikali yake si ya kuamrishwa wala kuyumbishwa
"Nimepata salamu wanasema tutakubali tu kukaa na serikali ikiwa watafanya moja, watafanya mbili, watafanya tatu. Serikali hii si ya kuamrishwa wala kupewa maelekezo"- Amesema Rais Samia