Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwahiyo ukiboresha maeneo ya vijiji ndio suluhu la vijana kuyasaka maisha mijini?
Hizo ni sera za uongo hakuna kitachofanikiwa! Na katika utafuta wa maisha ni maono ya mtu tu ndio maana kuna wanaotoka mjini kwenda vijijini na wakafanikiwa so kila mtu anauhuru wa kutafuta maisha popote pale
==================
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amesema serikali imeamua kuboresha maeneo ya vijijini ili kupunguza vijana wa vijijini kukimbilia Dar es Salaam.
Amezungumza leo, Oktoba 20, 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mkuranga mkoani Pwani