Rais Samia: Serikali tuna Mpango wa Kufungamanisha Reli ya SGR na Reli ya Tazara Ili kurahisisha Usafiri wa Watu na Usafirishaji Bidhaa

Rais Samia: Serikali tuna Mpango wa Kufungamanisha Reli ya SGR na Reli ya Tazara Ili kurahisisha Usafiri wa Watu na Usafirishaji Bidhaa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Samia Suluhu Hassan Serikali amesema Serikali ina mpango wa kuzifungamanisha huduma za Usafirishaji wa Treni za Reli ya TAZARA na za Reli ya Kisasa za SGR ili kuongeza ufanisi na kurahisha Usafirishaji nchini.

Rais Samia amesema hayo akiwa Mikumi mkoani Morogoro katika muendelezo wa ziara yake.

Source: Mwanahalisi Digital
Soma pia: Rais Samia azindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo Agosti 1, 2024

Waifanye na Tazara iwe SGR kama Ile ya kati ili watu anaweza tuma mzigo kutoka Mbeya kwenda Mwanza
 
Rais Samia Suluhu Hassan Serikali amesema Serikali ina mpango wa kuzifungamanisha huduma za Usafirishaji wa Treni za Reli ya TAZARA na za Reli ya Kisasa za SGR ili kuongeza ufanisi na kurahisha Usafirishaji nchini.

Akizungumza katika ziara yake Mkoani humo amesema "Serikali tuna lengo la kufungamanisha Reli ya TAZARA na Reli ya SGR ili kurahisisha usafiri na usafirishaji wa bidhaa na watu. Tunajua hapa Mikumi tuna mzigo mkubwa kwa hiyo itakuwa rahisi tukiunganisha hizi Reli kubeba mazao na kupeleka kwenye maeneo yanayotakiwa"
 
Back
Top Bottom