Rais Samia: Serikali yenu ni sikivu, tutaangalia njia nzuri tunayoweza kufanya ili kikokotoo kisilete maneno mengi

Wivu tuu hao,kalipa malimbikizo,kapandisha madaraja,kapandisha salary Kwa watu wa chini,kafuta retention fee ya Bodi ya Mikopo,kaongeza rate za posho nk
 
Nashindanaje? Huu upumbavu ukome kabisa,huyo hamkufanya hayo? Kwa hiyo yasisemwe.kisa maiti au?


Unaona sasa?

Hapa unapayuka. Hebu kunywa maji kwanza halafu urudi hapa!


Maiti hawezi kujibu hoja zako na haileti picha Nzuri kwa wewe uliyepo hai kujitetea kwa kutumia makosa ya Maiti, ni aibu.
 
Wivu tuu hao,kalipa malimbikizo,kapandisha madaraja,kapandisha salary Kwa watu wa chini,kafuta retention fee ya Bodi ya Mikopo,kaongeza rate za posho nk

Sana. Anafanya kazi kubwa sana.


Tumeona juzi amewalipa mafao yao wale waliokua wafanyakazi hewa na vyeti feki wote elfu 13.

Na bila kusahau ruzuku kwa ajili ya petrol na diesel miezi michache iliyopita.


Kazi iendelee.
 
Miradi ya Majengo isiyolipa. Millennium Tower, Ubungo Plaza, Jengo near TCRA, na kwingine kote Mikoani. Nani aliwatuma kuwekeza na Pesa za Watumishi? Yaani wakaona Wadhulumu Wazee wakati walio active Wakiongezewa Posho ya Vikao na kuzurura Nchini na Nje ya Nchi. Mtumishi ulikuwa unamlipa Mshahara duni halafu unakuja kumsonenesha anapostaafu. Lipeni Sawa kama waliotangulia kabla ya 2022.
 
Kwenye mifuko ya binafsi, mtu unapewa access ya website unaamua mwenyewe pesa zako za mafao ya uzeeni unaziweka wapi, hakuna mtu anayekulazimisha.

Tanzania pia tunaweza kuweka mfumo huu, viongizi wanaoenda kutumia hizi hela vibaya tu.
Naunga Mkono hoja.

Kweli kama wanamaanisha kuwa hizi hela ni za wafanyakazi kweli, wawape uhuru wa kuchagua wapi fedha zao wakawekeze.
 
Mh! Nikishasikiaga kauli za.."Serikali sikivu" hua iman inazid kunitoka kbs!!!
 
Tukifuwafuata wamarekani sa tutazitumiaje hizo pesa za mafao?
 
Acha uwongo, JPM ndiye aliyewapa pesa kwenda kujenga majengo yasiyo na wapangaji? Mwogope Mungu wewe!

Mtasingizia maiti lakini ukweli haujawahi kuzikwa...
 
Naunga Mkono hoja.

Kweli kama wanamaanisha kuwa hizi hela ni za wafanyakazi kweli, wawape uhuru wa kuchagua wapi fedha zao wakawekeze.
Wiki iliyopita nilikuwa naongea na dogo mmoja kaja US kusoma Masters yake ya Finance.

Tukawa tunaongelea hili jambo, nikashangaa sana Tanzania halipo.

Nikamwambia huku kuna watu wanapenda waamue hela zao zinawekezwa vipi.

Kwa mfano, kuna watu ni wanamazingira hawataki hela zao ziwekezwe kwenye makampuni ya mafuta, hata kama hayo makampuni ndiyo yanayotengeneza faida.Wao wanapendelea zaidi wawekeze hela zap kwenye makampuni ya reneable energy, na wanapewa nafasi ya kuwekeza huko au kwingine kokote wanakotaka. Na ukishindwa kuwapa nafasi hiyo, unakosa business yao, wanaenda sehemu nyingine ambapo wanapata nafasi hiyo.

Tunahitaji competition, tunahitaji mabadiliko ya sheria kuanzisha mifuko ya binafsi mingi zaidi (isiyotozwa kodi) kama mfumo wa 401k wa US.
 
Mama ana meno mengi kuliko vitendo
 
Kiranga.. Kwan hekaheka za wastaaf kutolipwa je pesa zao zilipelekwa wapi? Jibu utalotoa hapa ndilo jibu la tutazitumiaje!!! Ishi humo mkuu!!
Unazalisha maswali mengi kuliko majibu.

Hekaheka za wastaafu ziko nyingi sana, kuanzia za wa East African Community mpaka mpya ambazo zimetokea miaka mingi baada ya mimi kuondoka Tanzania na siwezi kukuambia kwamba nimezifuatilia kwa ukaribu.

What is your point?
 

Mama kaongea Vizuri sana,
1. Natamani waruhusu wafanyakazi waweze kukopa hela zao hata kwa riba ya 3% Ili wasitegemee kusubiri hadi wastaafu ndio wawekeze
2. Lakini muhimu zaidi; wawekeze kwenye miradi yenye tija jamani sio miradi ambayo hata hujui lini itarudisha hela yake. Na ile miradi isiyo na faida wauze....
3. Tunatamani tuwe na kikokotoo kama cha Nchi za wenzetu ili kila mwezi msaatafu apate hela ya kueleweka; sio hiki cha kwentu sijui kimefanywaje vile.....
 
That's the probs hujafuatilia... Tunazungumzia ucheleweshwaji wa malipo ya wastaaf ambapo ilielezwa pesa zilikwenda kweny matumiz mengine!! So kama mafao ya wastaaf hutumiwa kwa matumiz mengine je ukifuatwa utaratib wa marekani watapataje hilo fungu la kupelekwa kweny matumiz mengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…