Rais wa nani?Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza leo Machi 18, 2026 Ikulu Dar es Salaamakipokea ripoti ya tume ya rais ya kutathmini maboresho ya mfumo wa kodi nchini, amesema kwamba siku hizi misaada imepungua sana na kitu ambacho Serikali inapewa ni mikopo tu.
Who are you?Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza leo Machi 18, 2026 Ikulu Dar es Salaamakipokea ripoti ya tume ya rais ya kutathmini maboresho ya mfumo wa kodi nchini, amesema kwamba siku hizi misaada imepungua sana na kitu ambacho Serikali inapewa ni mikopo tu.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza leo Machi 18, 2026 Ikulu Dar es Salaamakipokea ripoti ya tume ya rais ya kutathmini maboresho ya mfumo wa kodi nchini, amesema kwamba siku hizi misaada imepungua sana na kitu ambacho Serikali inapewa ni mikopo tu.
Tanzania ina adui namba nne ambae watu wengi hawamuoni, incompetent leadersHuyu mama yeye anawaza mikopo tu
Mwalimu alisema ili tuendelee tunahitaji mambo mane, watu,ardhi, siasa safi na uongozi bora, sasa hatuna siasa safi wala uongozi bora hivyo tumekwamia hapahapa, iaaniwe CCM na watu wake.Tanzania ina adui namba nne ambae watu wengi hawamuoni, incompetent leaders
HatujasahauRais wa nani?
Ni kawaida Kwa akina Mama kukopa kopaHuyu mama yeye anawaza mikopo tu
Kwa sasa wananchi wengi wanajua hilo ndo sababu wanawakataa kwa kishindo na wao (watawala batili) wanajibu kwa kuteka na kuuaTanzania ina adui namba nne ambae watu wengi hawamuoni, incompetent leaders
Sidhani kama tuko mbali na debt ceiling.Kama tunakopesheka ni jambo la heri.
They need to get rid off, hao ndio wanchelewesha hii nchi kukua kwa kasi.Kwa sasa wananchi wengi wanajua hilo ndo sababu wanawakataa kwa kishindo na wao (watawala batili) wanajibu kwa kuteka na kuua
Kama tunakopesheka ni jambo la heri.