Rais Samia Suluhu Aahidi Kutoa Ndege Kwa Yanga Mchezo wa Fainali Pamoja na Milioni 20 Kila Goli

Rais Samia Suluhu Aahidi Kutoa Ndege Kwa Yanga Mchezo wa Fainali Pamoja na Milioni 20 Kila Goli

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa ndege Maalum itakayowapeleka Timu ya Yanga kwenye mchezo wa Fainali nchini Algeria pamoja na zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli kwenye mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho barani Afrika.

Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa ndege Maalum itakayowapeleka Timu ya Yanga kwenye mchezo wa Fainali nchini Algeria pamoja na zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli kwenye mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho barani Afrika
cheap popularity
 
Hili ndio anaweza,kupunguza mfumuko wa bei kwake ni mlima evarist
Kuna mtu anamdanganya,halafu kashika remote na ndio yanga damu
 
Back
Top Bottom