Rais Samia Suluhu Aahidi Kutoa Ndege Kwa Yanga Mchezo wa Fainali Pamoja na Milioni 20 Kila Goli

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa ndege Maalum itakayowapeleka Timu ya Yanga kwenye mchezo wa Fainali nchini Algeria pamoja na zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli kwenye mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho barani Afrika
Hiki ndo anachokiweza kwa kuwa hizo hela huwa hazitafuti yeye kama yeye
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa ndege Maalum itakayowapeleka Timu ya Yanga kwenye mchezo wa Fainali nchini Algeria pamoja na zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli kwenye mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho barani Afrika
Heko Mamaaaa!
 
Mimi simba ila kwa sasa naishabikia yanga kwa muda tu. Naiombea ushindi fainali.
 
dege liwazungushe mkoa kwa mkoa baada ya kutwa ubingwa

simba tuache ubabaishaji tufanye usajili minofu kama hii tutabaki kuisikia kwa majirani tusipokua makini
 
sijui, na sina sababu. Issue ni cheap popularity seeking president
Washukuriwe Yanga kwa kufika walipofika, anatimiza wajibu kama Mkuu wa nchi. Tujaribu kuwa na akili chanya ili tuepuke maumivu ya moyo yasiyo sababu.
 
Back
Top Bottom