Hiki ndo anachokiweza kwa kuwa hizo hela huwa hazitafuti yeye kama yeyeRais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa ndege Maalum itakayowapeleka Timu ya Yanga kwenye mchezo wa Fainali nchini Algeria pamoja na zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli kwenye mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho barani Afrika
Mkuu haya mambo ya coefficient huku unapoteza mudaHakuna correlation coefficient kati ya Chama na timu ya mpira
Hapana. Nimekushauri tu.πππKwa hyo unanifokea
Heko Mamaaaa!Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa ndege Maalum itakayowapeleka Timu ya Yanga kwenye mchezo wa Fainali nchini Algeria pamoja na zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli kwenye mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho barani Afrika
SawaHapana. Nimekushauri tu.πππ
Kikwete alipomleta na kumlipa maximum nae alikuwa anatafita cheap popularity?sijui, na sina sababu. Issue ni cheap popularity seeking president
Mimi simba ila kwa sasa naishabikia yanga kwa muda tu. Naiombea ushindi fainali.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa ndege Maalum itakayowapeleka Timu ya Yanga kwenye mchezo wa Fainali nchini Algeria pamoja na zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli kwenye mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho barani Afrika
π¦ na Cuf Mzee ya Buguruni damu damuπ€.CCM na Yanga damu damuπππ
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] PovuuuuuMxieeeeew
we mzee na wasiwasi na lishe yakoCCM na Yanga damu damuπππ
Sure! kama hawa wa mabango nchi nzima ni cheap popularity na kujikombaKikwete alipomleta na kumlipa maximum nae alikuwa anatafita cheap popularity?
True, si mnachota hazina....Muulize Mbowa Chopa kalipiwa na nani?πππ
CCM ni chama kikubwa sana!
Anatoa pesa yake sio kodi zenuUharibifu wa kodi zetu
Yanga ilizaa CCM,timu ya weusi wa tz ambayo ilikua kituo Cha kuongelea siasa wakijificha nyuma ya kandandaHakuna correlation coefficient kati ya Chama na timu ya mpira
Rais ana fungu kubwa tu michezoHiki ndo anachokiweza kwa kuwa hizo hela huwa hazitafuti yeye kama yeye
Kuipa Yanga ndege sio dalili za Rais Chenga, ni uzalendo na kuipa changamoto Yanga ili wauchukulie mchezo kwa umakini mkubwa.Raisi chenga Sana huyu
Washukuriwe Yanga kwa kufika walipofika, anatimiza wajibu kama Mkuu wa nchi. Tujaribu kuwa na akili chanya ili tuepuke maumivu ya moyo yasiyo sababu.sijui, na sina sababu. Issue ni cheap popularity seeking president