unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Usitegemee nyie mliodumaa Ubongo anawahesabia kwenye wengi. Anamaanisha wengi wenye akilli Timamu
Mbona ya Trump ilikua inaposti na alikua Rais wa Taifa kubwa kabisa.Ile akaunti sijaielewa kabisa...hao wanaoiendesha wapunguze ushamba kidogo
Akaunti ya Mkuu wa Nchi huwa haipost mambo hovyo hovyo....wafuatilie akaunti za viongozi wenzake wajifunze mambo yalivyo
Au hata kwa Mtangulizi wake Hayati JPM..
May be anayeiendesha ile akaunti ya Mama yetu Rais inawezekana mwanamke mwenzie..... kwa sababu wanawake kwa vijipost post hawajambo wanadhani bado ni VP......
Kiufupi yule tayari ni Mkuu wa Nchi..Dunia nzima inamfuatilia 24hrs
21 zimeshakata sasa... Hata mchwa tayari wanajenga kichuguuUkweli kipindi cha Jiwe Moyo wangu ulikosa furaha moyoni hakika sikumuona kama ana roho ya Utu... na uhakika Tanzania tutapanda juu katika Nchi zenye furaha Duniani...
Wananchi tulio wengi si wanachama wa chama chochote kile cha kisiasa. Sisi tunahitaji maisha bora, utawala bora na siasa safi.
Huyu ni mmoja ya Watanzania walio kuwa ma gay waliokimbia Nchi juu ya Magufuli kukataa vitendo hivyo hapa Tz sasa anapingana na ukweli so sad no RIP Magufuli tutakukumbuka na mengiAsipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Nayeye atakuwa nayo mkuuHivi ili utumie twitter huko TZ si ni hadi uwe na vipieni? au walishaiachia huru?
Akaishia wapiMbona ya Trump ilikua inaposti na alikua Rais wa Taifa kubwa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Hao ni 2% tu ya raia wote hapa nchini.
Hakuna mtu anapendwa na kuchukiwa na wote, hakuna duniani.
Kama unabisha nioneshe mmoja wapo?
Kwenye familia yako tu mitoto yako kuna baadhi haikuopendi sembuse nchi ya watu milioni 60?
Hata Rais wangu Samia hawezi kuingia kwenye mtego wa kijinga kwamba eti atapendwa na kila mtu
Akaishia wapi?