Rais Samia Suluhu ametoa moja ya hotuba bora sana, nina matumaini ataziba nyufa nyingi za utawala uliopita

Kwa wanasiasa wa Africa, Zingatia zaidi ni nini wanafanya siyo nini wanasema.
 
Kuinamisha kichwa ndio namna anavyopokea salamu kwa muda huu kuna covid maana hawezi kupokea mikono
 
Mshaanza Unafki wenu,wabongo Bure kabisa tupo hapa .
 
Naona matumaini makubwa na Tanzania mpya chini ya SSH. Na huu ulikuwa mpango wa mungu. Aliyekuwepo katunyanyasa sana na wapambe wake wametutesa sana.

Kikubwa mbele yake ni kuvunja ukabila aliokuwa ameujenga jpm.

Ilifikia Kila msukuma anajiona yeye ni rais.

Aondoe zile remnants za jpm ili nchi isonge mbele.

Kuhusu corona kwa sasa tunaonekana wenda wazimu lkn mungu ametuona kwa kuondoa kikwazo.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Siwapendi Ccm hasa jiwe lakini huyu mama dah nimejikuta sina la kumchukia. Acha tumsubirie
 
maneno huwa yanaendana na matendo siku zote.. angalia hotuba za chuki za marehemu na baadhi ya matukio hapa nchini.. directly correlated
Marehemu neno Uzalendo, demokrasia, tupendane, Maendeleo hayana chama, yalikuwa hayakauki mdomoni kwake.

Lakini kumbe yeye alikuwa na tafsiri tofauti ya hao maneno.

Wiki moja baada ya Akwilina kuuliwa kikatili, kina Mbowe walikamatwa. Wakiwa jela, nakumbuka ilikuwa pasaka alienda kanisani kuhubiri upendo.

Inshort Marehemu alikuwa ni definition halisi ya UNAFIKI. Anachochozungumza sicho anachofanya.

Anasema kazi ya Urais ni ngumu, angekujua adingegombea, ila hajakwambia uitake hiyo nafasi wala kuisogolea, yatakukuta ya Tundu Lissu.
 
Eye to eye contact
 
wanasiasa wa Tanzania wengi suala la hotuba halijawahi kuwa tatizo kwao...tumesikia hotuba nyingi sana na nzuri,tena zingine za kila mwezi, mimi napendekeza awe chuma kweli kweli,awe jiwe akitamka anatenda
 

Acha ukabila mkuu haukusaidii? Ni wapi uliona kila Msukuma alifikia hatua ya kujiona Rais? Chuki haijengi wala kukulisha

Nikutoe hofu Hamna kikubwa kitachobadilika toka kwa sera za JPM.

Mwisho Mtumainie Mungu katika mambo yako yote Naye atafanya njia na si Mtu. Barikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…