Rais Samia Suluhu amteua Jaji Jacob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Huyu alikuwa mjumbe wa NEC ile ile iliyovuruga uchaguzi na kupora kura , hatakuwa na jipya , Sasa ndio muelewe kwamba kile kikao cha Mutungi na akina Zitto , Lipumba na mamluki wengine hakikuwa na maana yoyote .

Hii ndio Tume huru ya uchaguzi ?
 
Shida nyingine ni dhana ya viongozi na chama chetu ccm, kuwa haiwezekani kupatikana kiongozi toka opposition parties. Hili ndio tatizo kuu, fikra hizi zikiondoka tunaweza piga hatua za kiuchumi kwa kuwa na mihimili inayojitegemea na huheshimu wananchi waliowaweka madarakani. Viongozi wa upinzani nionavyo mimi wemegeuzwa kuwa wanaharakati na freedom fighters rather than opposition leaders, trick hii imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Ukiviacha opposition parties vikatulia na kuweka strategies zao tungeweza kuona kulichomo ndani yao but constantly they are kept on their toes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…