Rais Samia Suluhu amteua Rogatus Mativila kuwa Mtendaji Mkuu TANROADS. Prof. Mgaya wa NIMR awa Mwenyekiti Bodi ya TAFICO

Rais Samia Suluhu amteua Rogatus Mativila kuwa Mtendaji Mkuu TANROADS. Prof. Mgaya wa NIMR awa Mwenyekiti Bodi ya TAFICO

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Rais Samia Suluhu amemteua Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)

Mativila, aliyekuwa Mkurugenzi wa Barabara - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anachukua nafasi Mhandisi Patrick Mfugale aliyefariki dunia Juni 29, 2021

57AA7CF6-B666-4887-9172-A98784A4E38E.jpeg
 
Rais Samia Suluhu amemteua Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)

Mativila, aliyekuwa Mkurugenzi wa Barabara - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anachukua nafasi Mhandisi Patrick Mfugale aliyefariki dunia Juni 29, 2021
View attachment 1873938
Mmmmh!!!
Kutoka utafiti wa magonjwa ya binadamu kwenda kuvua samaki?
 
Haieleweki. Uenyekiti wa bodi sio kazi ya kiutendaji kwa hiyo Profesa anaweza kuendelea tu na nafasi yake NIMR bila shida yeyote. Tafico ni kwa kuvutia posho za vikao.

Amandla...
Taarifa inasema "alikuwa" maana yake hayupo tena hapo
 
Ikulu haitakiwi kutoa taarifa ambayo inachanganya... Haya ni mapungufu. Kama ametolewa NIMR wangesema hivyo waziwazi.
Haieleweki. Uenyekiti wa bodi sio kazi ya kiutendaji kwa hiyo Profesa anaweza kuendelea tu na nafasi yake NIMR bila shida yeyote. Tafico ni kwa kuvutia posho za vikao.

Amandla...
 
Lini tutakuwa na bodi yakuhakiki shule zinavyoo kabla ya wanafunzi kuwa mashuleni
 
Unaijua CV yake? Hapo alipo ndio sahihi zaidi

Ana PhD ya Marine Biology (Aquaculture), ana Masters ya Fisheries Biology and Management na ana Degree ya sayansi ya Zoology na Marine Biology
Mumwene
 
Back
Top Bottom