Haieleweki. Uenyekiti wa bodi sio kazi ya kiutendaji kwa hiyo Profesa anaweza kuendelea tu na nafasi yake NIMR bila shida yeyote. Tafico ni kwa kuvutia posho za vikao.Ina maana Prof Mganya ndo kapigwa chini NIMR?
Mmmmh!!!Rais Samia Suluhu amemteua Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)
Mativila, aliyekuwa Mkurugenzi wa Barabara - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anachukua nafasi Mhandisi Patrick Mfugale aliyefariki dunia Juni 29, 2021
View attachment 1873938
Taarifa inasema "alikuwa" maana yake hayupo tena hapoHaieleweki. Uenyekiti wa bodi sio kazi ya kiutendaji kwa hiyo Profesa anaweza kuendelea tu na nafasi yake NIMR bila shida yeyote. Tafico ni kwa kuvutia posho za vikao.
Amandla...
Haieleweki. Uenyekiti wa bodi sio kazi ya kiutendaji kwa hiyo Profesa anaweza kuendelea tu na nafasi yake NIMR bila shida yeyote. Tafico ni kwa kuvutia posho za vikao.
Amandla...
Unaijua CV yake? Hapo alipo ndio sahihi zaidiMmmmh!!!
Kutoka utafiti wa magonjwa ya binadamu kwenda kuvua samaki?
Mtendaji mkuu taifa, mkuu wa wilayaMtendaji mkuu wa Tanroads anateuliwa na Rais au Waziri wa Ujenzi??
SSH alianzia kazi wapiMmmmh!!!
Kutoka utafiti wa magonjwa ya binadamu kwenda kuvua samaki?
Mfugale aliteuliwa na Magufuli enzi akiwa waziri.Sheria zimebadirika?Mtendaji mkuu taifa,mkuu wa wilaya
Huko kwenye samaki ndio amebobeaMmmmh!!!
Kutoka utafiti wa magonjwa ya binadamu kwenda kuvua samaki?
MumweneUnaijua CV yake? Hapo alipo ndio sahihi zaidi
Ana PhD ya Marine Biology (Aquaculture), ana Masters ya Fisheries Biology and Management na ana Degree ya sayansi ya Zoology na Marine Biology
Unaijua CV yake? Hapo alipo ndio sahihi zaidi
Ana PhD ya Marine Biology (Aquaculture), ana Masters ya Fisheries Biology and Management na ana Degree ya sayansi ya Zoology na Marine Biology
🤣House girl