Haieleweki. Uenyekiti wa bodi sio kazi ya kiutendaji kwa hiyo Profesa anaweza kuendelea tu na nafasi yake NIMR bila shida yeyote. Tafico ni kwa kuvutia posho za vikao.
Amandla...
Taarifa imeandikwa kiusahihi kabisa. " Prof. Mgaya NI ........." na siyo "alikuwa"Taarifa inasema "alikuwa" maana yake hayupo tena hapo
Hii ndio waliyotoa mwanzoTaarifa imeandikwa kiusahihi kabisa. " Prof. Mgaya NI ........." na siyo "alikuwa"
Hapo TAFICO ndo mahala pake, yeye ni marine and aquatic life scientist. .....NIMR yupo kiukanjanja!Mmmmh!!!
Kutoka utafiti wa magonjwa ya binadamu kwenda kuvua samaki?
🤣🤣NIMR yupo kiukanjanja!
Mmmmh!!!
Kutoka utafiti wa magonjwa ya binadamu kwenda kuvua samaki?
Taarifa inasema "alikuwa" maana yake hayupo tena hapo
Hata mimi niliona hii. Nimeshangaa ghafla imebadilika. Walitakiwa kuomba radhi.Hii ndio waliyotoa mwanzoView attachment 1874186
Soma paragraph ya mwishoIna maana Prof Mganya ndo kapigwa chini NIMR?
Tafico ni kweli kuvutia posho za vikao......maana hawana meli hata moja zaidi ni Yale maghala chakavu kule pembeni ya chuo cha chamaHaieleweki. Uenyekiti wa bodi sio kazi ya kiutendaji kwa hiyo Profesa anaweza kuendelea tu na nafasi yake NIMR bila shida yeyote. Tafico ni kwa kuvutia posho za vikao.
Amandla...
🙏Nasikia ndio eneo lake la umahiri
Barua si IPO? Ebu i quote na u highlight ilipoandikwa "aliyekuwa".Wewe ndo hujasoma vizuri. Imeandikwa "aliyekuwa"
Basi walikosea. Nafikiri ni copy and paste. Tuko pamoja.Hii ndio waliyotoa mwanzoView attachment 1874186