Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Of what use anyway?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio maalum za mwenge wa uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uwanja wa Magufuli - Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Oktoba 2021.
Of what use anyway?
Awape watanzania mzigo mwingine ....atangaze chato kuwa mkoa....Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio maalum za mwenge wa uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uwanja wa Magufuli - Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Oktoba 2021.
So itatusaidia nn sisi wakazi wa Chato? Tutaanza kupewa chakula na mavazi bure?Leo Chato inatangazwa kuwa mkoa
si wanataka IMF iwaone kuwa wanapambana na corona ili wapate fedha..., ngoja imnyakue Hangaya dipo watatia akiliUvaaji wa barakoa naona limebakia suala la shughuli za kitaifa tu. Jana nilimuona uutyubu mkuu wa mkoa wa DSM akiongea na wananchi kwenye msiba wa mtendaji wa serikali za mtaa aliye uliwa kinyama na wahalifu sikuona hii kitu inaitwa barakoa.
Swala la korona kiimani tuko na jpm mbele ya kamera tuko na ssh. Huo ndo ukwelisi wanataka IMF iwaone kuwa wanapambana na corona ili wapate fedha..., ngoja imnyakue Hangaya dipo watatia akili
Bawacha umenunaSo itatusaidia nn sisi wakazi wa Chato? Tutaanza kupewa chakula na mavazi bure?
Huwa sifurahii ujingaBawacha umenuna
Ujinga ni upi?Huwa sifurahii ujinga
Ndio uone kwamba...watu hawapo serious...ni porojo porojo tu...ukiwauliza watakwambia tumechanja...Uvaaji wa barakoa naona limebakia suala la shughuli za kitaifa tu. Jana nilimuona uutyubu mkuu wa mkoa wa DSM akiongea na wananchi kwenye msiba wa mtendaji wa serikali za mtaa aliye uliwa kinyama na wahalifu sikuona hii kitu inaitwa barakoa.
Kuwabaka wanaChato kiakiliUjinga ni upi?