Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
- Thread starter
-
- #21
Royal tour ni mkakati wa kuongeza idadi ya watalii nchini. Jambo hilo litapelekea mapato ya taifa letu kuongezeka na hatimae sote kunufaika.Kwahiyo kumbe ile Royal Tour yake ilikuwa ni Strategy tu ya Kuitafuta Kiulazima hiyo Tuzo?
Kwa kweli.Hili ni swala la muhimili mungine.. kwahiyo swala la Mbowe iulizwe mahakama.
Tuwaelimishe na kuwasihi wamuunge mkono Mama.Wanaombeza mama wanazidi kuaibika lissu,lemma, mbowe (gaidi) na magenge yaop yooote ni aibu kbwa sana kwao
Mungu ambariki na amlinde na kila husda, chuki, uovu wa kila kiumbe na amuongezee weledi ili tufaidike Watanzania kwa ujumla wetu.Hongera sana Mama Samia, Chapa kazi
Na ataendelea kuwashangaza wengi.Mama anawashangaza sana watu awamu hii,
Hongera sana Rais na Mkt Wangu Samia Suluhu Hassan
Anastahili kwa kweli.
Kwahiyo mkuu suala dogo hili unashindwa kuelewa.??? Kweli??Mhh sijaelewa hapa,
Kwahiyo Chief wetu ni mtalii?
Mungu ambariki sana Mheshimiwa rais Mama yetu Mama Samia Suluhu Hassan.Nina amini Rais SSH yuko kwenye mstari sahihi wa kuiletea maendeleo chanya nchi yetu japo "wapinga maendeleo" kila uchwao wanakosoa kila kauli na hatua ya Rais.
Ila tumepata Rais Bora, mnyenyekevu, mpole na mwenye upeo. Vitu alivyo anza navyo ni vya kuiletea maendeleo makubwa nchi yetu.
sawa mkuu, tumekuskia.Mbowe sio gaidi
[emoji23][emoji23][emoji23]Mhh sijaelewa hapa,
Kwahiyo Chief wetu ni mtalii?
With all due respect Mkuu linahusianaje na hii tuzo? Mimi na wanakijiji wenzangu tunatanguliza shukrani za dhati kwako.Vipi suala la MBOWE?
Jitahidi kuzingatia swali ayseeKwahiyo mkuu suala dogo hili unashindwa kuelewa.??? Kweli??
Unatumia nini kufikiria?? usiwe kama unakula matope badala ya chakula mkuu
Vipi suala la MBOWE
Huziamini mahakama utaiamini vipi katiba....Mbowe sio gaidi
πKwa kweli.
Tatizo la Watanzania wenzetu baadhi walio wachache ni kuwa na uelewa mdogo wa kutofautisha mambo. Suala la mhimili mwengine wanataka wauulize mhimili mwengine.
Ni muhimu Mama aungwe mkono kwani maendeleo ni yetu sote na hayana chama
Aaaamin aaaamin aaaaminπMungu ambariki sana Mheshimiwa rais Mama yetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Kuelewa au kuto kuelewa wote ni 'ufaulu.Kwahiyo mkuu suala dogo hili unashindwa kuelewa.??? Kweli??
Unatumia nini kufikiria?? usiwe kama unakula matope badala ya chakula mkuu
Kwani ni mahakama iliyomkamatq Mbowe? Mbowe amebambikiziwa kesi na oolisi. Polisi wanapokea order tokakwa Rais.Hili ni swala la muhimili mungine.. kwahiyo swala la Mbowe iulizwe mahakama.