Rais Samia Suluhu atunukiwa tuzo ya Utalii Barani Afrika

Zawadi hata kabla zile picha alizopiga hazijatoka?!
 
Declaration of interest,

Mimi ni muumini wa legacy ya JPM. Kwangu mimi JPM ni 'martryed'.

Binafsi huwa sina imani na wanawake hasa kwenye kufanya maamuzi magum,
Ila huyu mama nikama anakitu fulani kinaweza tuvusha na kizazi kijacho kikafurahia zaidi.

Nadhani tumuunge mkono.
 
With all due respect Mkuu linahusianaje na hii tuzo? Mimi na wanakijiji wenzangu tunatanguliza shukrani za dhati kwako.
Baadhi ya Watanzania wenzetu ni wagumu sana kuelewa. Ila ndio sifa ya kenge, huwa hasikii mpaka damu zimtoke maskioni
 
Kwani ni mahakama iliyomkamatq Mbowe? Mbowe amebambikiziwa kesi na oolisi. Polisi wanapokea order tokakwa Rais.
Kumbe mkuu unazo taarifa za kutosha za kumtetea Mheshimiwa Mbowe. Kwanini hupendi mahakamani sasa???

Hivi kwanini baadhi ya Watanzania wenzetu mnakuwa wazembe kiasi hiki?? Taarifa unazo lakini unakaa nazo kwenye mitandao ya kijamii tu???

Tubadilike, jitokeze polisi au mahakamani ukatoe ushahidi wako mkuu
 
Kabisa mkuu,

Mama atatuvusha na atalipeleka taifa letu mbali sana. Tumuunge mkono.

Viva Magufuli viva Mama Samia.

Mama Samia mpaka 2030.
 
Kwani ni mahakama iliyomkamatq Mbowe? Mbowe amebambikiziwa kesi na oolisi. Polisi wanapokea order tokakwa Rais.
Hata mdude mlisema ni polisi ndio ilimkamata kwa maagizo ya raisi, lkn watu walipomshauri mdude amshukur raisi Samia kwa kurahisisha yeye kutoka, mlikataa kuwa Mdude hakuachiwa na raisi bali ni mahakama ndio aliomuachia. Kwahiyo haina haja ya kumshukuru. Sasa inashangaza leo kudai tena raisi ndio mwenye mamlaka ya kuachia watuhumiwa.
 
Pongezi sana kwa mamaetu!![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Naamini unaendelea kufurahia Uongozi wa Mama yetu.

Kabla ya uchaguzi wa mwaka 2025 tutakuwa na katiba mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…