Vituo wanavyo amesema wanasubiri vibali toka nchi walizowapangia acha kupotosha vibali vikija wanaenda kwenye vituo vyao
Kuwa msaidizi wa mstaafu je,hakujamlipa!?Muache Togolani wa watu. Alikaa benchi miaka 6.
Dude. You still into cum guzzling and getting your butt-hole stuffed?Wacha weeee!!! Kibs leo unalonga kwa Kizungu?
Aisee ukimsikiliza huyu rais utangundua Tanzania hatuna rais bado yaani matukio yote haya yaliyo tokea hapa katika umeshindwa kuyatolea ufafanuzi.
Hana jipya kikongwe
Why Mama anaapisha mabalozi wengine wasio na vituo? Wanapewa posho, mishahara na magari ya gharama kubwa.
Mwisho wa siku kina Togolani wanashinda Twitter kupost meme.
Ndio kazi pekee anayoiweza, teua, tengua, apisha, rudi ikulu kajipake hina.
Toka lini mama wa kambo akaupiga mwingi? Au ukisikia neno la mtaani na ww unalirukia ili uonekane unaenda na wakati?Hana jipya ki vipi?
Mi nadhani anaupiga mwingi au?...
Mama yupo kwa ajili ya Tanzania, na Tanzania ipo kwa ajili ya mama. Tukiacha kutumia akili tulizopandikizwa na magaidi, tutamuelewa sana bimkubwa. Mama ni mtu wa haki, na ameamua kuisimamia haki bila kujali nani anasema
Na aliyesema kuwa Sabaya katolewa kafara ni nani vile?Alipokamatwa Sabaya Mbowe na genge lake walisema mama ni mtenda haki. Sasa hiyo dhulma unayosema ww imetoka wapi? Je unapingana na maneno ya mwenyekiti Mbowe?
Dah hizi spana za meli ya mizigooWhy Mama anaapisha mabalozi wengine wasio na vituo? Wanapewa posho, mishahara na magari ya gharama kubwa.
Mwisho wa siku kina Togolani wanashinda Twitter kupost meme.
Bora huyu Mama wa sasa wa Mambo ya Nje. Enzi zile, yule bwana wa jalalani alikuwa anaanza na historia, then anafundisha kiswahili halafu anamsifia mheshimiwa anaenda kukaa.
Sasa sungusungu hapo ni mama wa kambo au nani?Hilo jina la makamanda kwa sasa haliwastahili, angalau tuwaite sungusungu.
Anaendelea kuzingua na tozo za miamala, na huku sisi tukiendelea kudemshwa na maisha magumu."Tulipokea maoni ya wananchi kama wiki moja tangu tozo za miamala mipya zianze, natarajia kupokea ripoti ya kamati niliyoiunda kuhusu suala la tozo na kisha tutachukua hatua.
Watajua hawajui..Hata hicho kidogo watakikosa
Huyo Mwigulu wako ikiamuliwe afinywe atulie ni jambo la dakika moja tuSasa naanza kuelewa kwanini mr Mwigulu alituomba kuhamia Burundi huku akinesanesa kwenye kiti kama mzee Mpili