Rais Samia Suluhu awaapisha Mabalozi Ikulu. Asema Tozo za Miamala zitaendelea ila zitarekebishwa

Kelelee nyiiingiii....🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mbowe aliwahi kusema watanzania wapewe chanjo. Sijui alikuwa na lengo gani!

Mimi namsifu Kenyatta. Enzi za JPM viongozi wa nchi mbalimbali wakisumbuliwa sana na wananchi wao mbona Tanzania hawababaishwi na corona? Ikawa ni tishio kwa mstakabali wa hawa viongozi juu ya maamuzi waliyo ya fanya kuhusu corona.

Saa hizi kibao kimetugeukia tunaparurana mnyewe kwa mnyewe wao wametulia na wananchi wao wakitucheki kulikoni tuliokuwa tunawapigia mfano. Kwenye katiba mpya iwepo sheria ya kutathimini uwezo wa Kiongozi kwa urefu na mapana yake.
 
Inasikitisha huyu mama karudisha ikulu dar kimizengwe. Kwani shughuli ya kuapisha mabalozi haiweze fanyanyika dodoma mji mkuu wa nchi hadi iletwe dar. Hebu wakuu semeni kitu kuhusu hii movie maana wengine inatukera sana. Au ndivyo kina mama wanaendesha mambo.?
 
Tutaitumia kwenye jambo hili baada ya kusikia vilio vyenu, tunataka fedha hizi zikajenge barabara za vijijini" @SuluhuSamia Ikulu leo
 
Mkuu tusilipe hizo tutafute namna mbali ya kuzikwepa ili wakusanye kidogo sana labda chini 10% ya target.
Hizi tozo za miamala ya simu tujiandae kuzizoea tu, kwa hii kauli ya Rais wanaweza ondoa 1%
 
Tarura si walishapewa vyanzo tayari?
Halfu mjini tu hapa barabara mbovu kuliko vijijini, y?
 
Yote haya chanzo ni mwendazake baada ya kuuwa uchumi,kaua sekta binafsi,kakimbiza Wawekezaji,kaanzisha miradi ya sifa,leo atukopesheki wamebakia kukamua wananchi
 
Yote haya chanzo ni mwendazake baada ya kuuwa uchumi,kaua sekta binafsi,kakimbiza Wawekezaji,kaanzisha miradi ya sifa,leo atukopesheki wamebakia kukamua wananchi
Kwahuyu mama hata angeongoza marekani kodi za kipuuzi zingewekwa tu. Alishindwa nini kuongeza kodi kwenye mabenk ambako watumiaji wake niwatu wa uchumi mzuri anaweka kwa miamara ya mitandao ya sim ambayo watumiaji wake ni wakulima na wafugaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…