Roboti.Kwahuyu mama hata angeongoza marekani kodi za kipuuzi zingewekwa tu. Alishindwa nini kuongeza kodi kwenye mabenk ambako watumiaji wake niwatu wa uchumi mzuri anaweka kwa miamara ya mitandao ya sim ambayo watumiaji wake ni wakulima na wafugaji
Hii nchi ni ya ajabu sana!!eti tozo nayo inaundiwa kamati ambayo kesho kutwa inawasirisha mapendekezo kwa rais!!Tutaitumia kwenye jambo hili baada ya kusikia vilio vyenu, tunataka fedha hizi zikajenge barabara za vijijini" @SuluhuSamia Ikulu leo
Hii haitompunguzia kitu katika madaraka yake. Ulinzi wake ni uleule, akikagua gwaride mizinga 21 ni ileile na ukuu wa nchi uko palepale.
Siyo lazima kila apewaye hadhi ya Ubalozi apewe nchi ya kufanyia kazi ya kutuwakilisha huko, hapana! Balozi ni cheo au nafasi ya kazi huko kwenye Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Si unakumbuka Komredi Bashiru ni Balozi kwa hadhi, siyo lazima apewe nchi atuwakilishe lakini ikibidi, basi anaweza kupewa nchi au Ofisi yoyote yenye hadhi kama nchi, si umeona Balozi Hoyce Temu ni Balozi lakini kwenye Ofisi yetu pale Geneva, Uswisi ambako kuna Ofisi nyingi ndogo ya UN.Ni mabalozi wa nchi gani hao walioapishwa??
Hakuna haja ya taarifa ya mawaziri alio watuma kuangalia swala la tozo, rais kahitimisha. Ndio maana spika na mwiguli waliongea kwa kiburi, tukidhani wanampinga kumbe wanajua.Hana jipya kikongwe
Umeuziwa mbuzi kwenye gunia?HAKUNA raisi humo.
Kabla ya tozo barabara za vijijini zilikuwa hazijengwi?
Huyu mama tumepigwa