Rais Samia Suluhu, fanya haya TRA

Safi sana! Ushauri mzuri
Tukiweka rates hizo; container ya nguo ya 40ft itaweza kulipiwa 35,000,000 na ya 20ft kama16,000,000 kwa kutumiareal invoice value sio hizi za kulazimishana kuhushi na mwisho wa siku ushuru haukusanywi!
 
Wazo zuri! Natumai wahusika wameliona na watalifanyia kazi
 
Hawawezi kuzikubali hizo rates

1Maslahi yao binafsi

2.Rate kubwa zina sura nzuri kukopea peaa kama IMF, WB etc. Japokuwa zinafukuza investments.
 
Naamini wataalam wetu watakuna vichwa na hatimaye kuja na best solution kwenye hili.
 
Unamaana waafrika tuu wanyama au !!?? Mpaka uamini lazima tusagwe kama wanyama!!?? Futa kauli yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…