Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi mwingine, PhD zatawala

Haya ni malalamiko ya watu au yako?

Nilini tumekuteua kuwa msemaji wetu?

Mfumuko wa Bei ni janga Dunia nzima Rais Samia anahusikaje?

Umeme wapi hakuna be specific mkuu
 
Naona baada ya jina lako kukosekana Ubaoni unaamua kumwaga mboga, 🤣🤣🤣🤣
 
Ikulu haina umakini kabisa. Ni Dr Andrew Kitua. Yaani barua za Ikulu zimejaa typos. What a shame!! Kitua ameitumikia nchi kwa miaka mingi hivyo, ajabu watu wa Ikulu hawamjui!!
 
Bachelor, Adv. Diploma, Diploma na certificate hz ndo za watendaji.

Ndio Mana mashirika mengi na taasisi nyingi za serikali zinakufa au zinajiendesha kwa hasara.

Hao maprofesa, PhD's Kaz zao n kufundisha
 
Haya ni malalamiko ya watu au yako?

Nilini tumekuteua kuwa msemaji wetu?

Mfumuko wa Bei ni janga Dunia nzima Rais Samia anahusikaje?

Umeme wapi hakuna be specific mkuu


Hahaha. ndio maana watu wamekufungulia Uzi wako ; unakela Sana.

Hujui umeme unavyokatika kweli?

Ndio maana Mama hajisumbui hata kuliongelea. Kumbe watu mnao mzunguka mko hivi. ?
 
Furaha yangu itapatikana siku akiteuliwa aggrey mwanri, namkubali sana yule jamaa......pamoja na ukomedi wake, ana hekima na busara sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…