Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali.

=======

Baadhi ya mabadiliko

- Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania, nafasi aliyowahi kuitumikia kabla na uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli.

- Erick Hamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa bandari baada ya aliyekuwa mkurugenzi wake, Deusdedith Kakoko kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi

- Gerson Msigwa ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Hassan Abbas ambae amebakia na nafasi yake ya katibu mkuu wizara ya habari. Kabla Msigwa alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu

- Dkt. Jabir Kuwe ameteuliwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Eng. Kilaba.

IMG_20210404_221342.jpg

IMG_20210404_221414.jpg

IMG_20210404_221424.jpg

Teuzi na Tenguzi nyingine
Pia, Soma teuzi za marais wengine
 
Wanaomchukia Doto James naona jamaa bado atawapa tabu sana.
I don't like the guy... Anyway we rise to fall

Hongera mama yetu, tuna/ninakuombea utuongoze vyema[emoji176][emoji176]
 
Back
Top Bottom