Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Kwani tatizo la Doto ni lipi?
Hujui Kama Ni mwizi alikuwa akitumika na mjomba wake kutoa pesa bila idhini ya bunge , Hayati kafa wakaiba bilioni 96 + 180 , task force ya TRA ikikuwa ikipora fedha kwenye akaunti za wafanyabiashara na zile za faini za DPP , Doto anazipeleka China kuficha kwa balozi Mbelwa Kariuki , bado mapesa watu waliyoporwa Bureau de change , Kama wewe ndio Doto juwa mambo yako yote yanajulikana .
 
Dotto he is a gentleman and hardworking guy!

Hadi atakapopatikana na tuhuma na kuthibitishwa na mahakama kuwa mkosa ndipo tutaweza kuhoji kuteuliwa kwake.

Wala haina maana kuwa hao wengine wote ni wasafi.

Lakini kwa sasa He is innocent man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…