Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu si ndio mpigaji mkuu?Doto james amefanya ya maajabu huko alikkuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma. labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki. hapa umechemsha sana.
Pasco kama alishindwa kuambulia chochote kipindi cha msukuma mwenzake leo ndio apate? 🤣Namuona gwiji huyu akiula nafasi hii baada ya Gerson Msigwa.
Kila la heri Pascal Mayalla
Haya ulale maana siku hizi hata kiswahili hujuiHata mimi naona hivyo.
Nafikiri magu alipewa wrong info kuhusu kidata , ndio maana baadae alimrudishaAkamvua hadi ubalozi
Hujui Kama Ni mwizi alikuwa akitumika na mjomba wake kutoa pesa bila idhini ya bunge , Hayati kafa wakaiba bilioni 96 + 180 , task force ya TRA ikikuwa ikipora fedha kwenye akaunti za wafanyabiashara na zile za faini za DPP , Doto anazipeleka China kuficha kwa balozi Mbelwa Kariuki , bado mapesa watu waliyoporwa Bureau de change , Kama wewe ndio Doto juwa mambo yako yote yanajulikana .Kwani tatizo la Doto ni lipi?
Kwann umeshangaa bro ?TPDC nimeshangaa, na pia kurudi kwa Kidata nimeshangaa zaidi.
Amekuwa petro,kabla jogoo hajawikaPia hajui anachosimamia, majuzi alikua team mwendazake ila leo hii amemkana mara tatu
Ila bavicha wamefurahi kweli watu kubadilishiwa ofisi tu...mshahara bado uko pale paleWatu wanazunguka tu walewale wanabadilishana tu vyeo na wizara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TCRA kaliwa kichwa, Bado Ndugulile