Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Mchembe na Makubi kwaheri. Ila naona kama Dotto kaponea vile
Kuna jamaa anaitwa Nyamhanga alikuwa TAMISEMI akitokea TANROAD simuoni jamani hebu nitafutieni kwenye list siamini nikazianze bia usiku huu
huyu Dotto James Mgosha tumpeni muda, Mama anatumia busara bado
 
Mama Samia hapo TPDC kaharibu ,aliekuwepo si tu ana akili bali ni mzalendo namba moja wa hapa nchini ,kama sio yeye wachina walishakwapua vitalu vya gesi bure baada ya kupewa na Muhungo ,yeye alikomaa hadi kusimamishwa kazi
Okay nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…