G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Aisee nikutie tu mimba ukatuliage huko. Makubi tena!!!!Nimefurahi sana,Mme wangu Makubi kawa katibu mkuu. Mpunga inaongezeka kwenye family.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee nikutie tu mimba ukatuliage huko. Makubi tena!!!!Nimefurahi sana,Mme wangu Makubi kawa katibu mkuu. Mpunga inaongezeka kwenye family.
Unao wangapi?Nimefurahi sana,Mme wangu Makubi kawa katibu mkuu. Mpunga inaongezeka kwenye family.
Si wa majalalani [emoji16][emoji23]Mbona 'Maprofesa' wengi ni manaibu Katibu wakuu?
Wameisomea ngazi hiyo?
Kuna jamaa anaitwa Nyamhanga alikuwa TAMISEMI akitokea TANROAD simuoni jamani hebu nitafutieni kwenye list siamini nikazianze bia usiku huuMchembe na Makubi kwaheri. Ila naona kama Dotto kaponea vile
Hii Safi sanaNaona mkurugenzi TCRA (wazee wa kupandisha Data bando ) kaliwa kichwa nae !
Ndungulile is typing.... !
Mmoja,Abel peke yake.Unao wangapi?
[emoji2][emoji2]
Kuna sehemu nimesema nitafurahi? Nimesema wanafiki hawastahiki kuwapo nyumba nyeupewaTanzania ma sadist sana. akikosa ndo furaha yako yan.
AmeulaMtoto wa dada vipi?
Well saidMkuu,Rais hafanyi mambo kwa mihemko ya mtandaoni na chuki binafsi za watu.watu mmejaa husuda bin manyatu,pole zenu
Shida ni kumwamini mtu ambae utafikir ni Mungu wao! Watu wakubwa wanaendeshwa na mihemuko ya lipuuzi flani tu lisilokuwa na staha.Ni kwamba hawampendi tu kisa inasemekana alikua na close link na JPM.
Ila haitapewa sababu ya msingi zaidi ya habari waliyoambiwa na kigogo
Mbona mtalia sana mwaka huu?Doto james amefanya ya maajabu huko alikkuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma. labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki. hapa umechemsha sana.
Lakini mke wake mbona twamjua loh[emoji56]?Mmoja,Abel peke yake.
Okay nimekupataMama Samia hapo TPDC kaharibu ,aliekuwepo si tu ana akili bali ni mzalendo namba moja wa hapa nchini ,kama sio yeye wachina walishakwapua vitalu vya gesi bure baada ya kupewa na Muhungo ,yeye alikomaa hadi kusimamishwa kazi
Atafute kazi nyingine sasa ya kujiajiri maana hata mtaji anao. Wengine tumezoea kumwona mtu hana ajira, imekuwa kawaida yetu. Ajira ni anasaAlituhumiwa na Muhongo ndio maana marehemu JPM alimrudisha kwa kishindo,hapa mama Samia wamemdanganya aisee
Wewe huku hapakufai nenda jukwaa la kenya kabishane na mk254Angalizo
Pale TPDC aliyewekwa ana ujuzi upi? isiwe mambo binafsi yamemtoa aliyepo maana banahitajika wanaoweza ku-negotiate mambo ya gesi kwa maslahi ya nchi! Dr Matarajio kafanya lipi baya?
kAWEKWA KUWEmbona nasikia uvumi yule anayehusika na TCRA katolewa amewekwa mpya
Alikuwa hawajui makatibu wakuu waliokuwepo ndo maana amejiropokea tu,naomba shule zifunguliwe watoto wapungue humu!Kwenye teuzi hizo unazani kaacha chato empire?
Huyu bwana amesoma Project Planning pale UDOM. Kwa mujibu wa Zito Kabwe na KIGOGO yupo TISS . Rejea waraka wa Zitto kutishiwa maisha bungeniTulia mama ana vyanzo vingi vya taarifa