Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Mchembe Out. Ila Mama Samia naona alichukia sana Mchembe kuficha kifo cha Magufuli. Doto nae kaponea chupuchupu.
Huyo Mchembe (Mchamba) anabeba mzigo mzito sana kichwanini mwake.

Kamsababishia kifo mtu aliyetakiwa kumpa ushauri makini.

Maisha yake yote atakuwa analijutia sana hili.
 
Una ushahidi wowote au ni kuropoka tu?
Hizo bilioni 276 walizibeba kwenye viroba mpaka China? Na huko China wamezichimbia shambani?
Embu tusaidie jinsi walivyoweza kuzipeleka China bila serikali China kutowachukulia hatua?
 
Mkurugenzi mkuu wa ikulu utaletewa baadaye. Huyo Gerson anaenda pale maelezo kusoma magazeti na tweets kisha ana retweet. Upo mchato wewe!
Hivi ikulu na maemaji mkuu wa serikali wapi unasoma magazeti? Ikulu mpaka zitoke teuzi ndio unaongea. Hamna shughuli pale. Msigwa kapanda cheo.
 
nilichojifunza katika hizi teuzi hizi ni kuwa wabongo wengi tuna chuki na husda dhidi ya wenzetu!

kuwawazia na kuwaombea wengine wakwane ni kama shabiki wa yanga kumuua simba kwenye mikeka yange akitegemea atakula hela,wakuu kila siku mikeka itachanika!

na nishajiandaa na yajayo

wakuu tujiandae kisaikolojia
 
Huyo Mchembe (Mchamba) anabeba mzigo mzito sana kichwani.

Kamsababishia kifo mtu aliyetakiwa kumpa ushauri makini.

Maisha yake yote atakuwa analijutia sana hili.
Magufuli alikuwa anamsikiliza sana Mchembe. Hata idea ya kupima mapapai Coronavirus ni Mchembe ndo aliitoa. Mchembe ndo alisababisha hadi Magufuli akadharau Corona. Mchembe alimwambia Magufuli Coronavirus ni mafua makali tu. Si hatari.
 
Hivi ikulu na maemaji mkuu wa serikali wapi unasoma magazeti? Ikulu mpaka zitoke teuzi ndio unaongea. Hamna shughuli pale. Msigwa kapanda cheo.
Chizi wewe! Unajua ziara za Rais ndani na nje ya nchi? Unafananisha na usemaji wa serikali ambao unadandia?
 
Kuna jamaa anaitwa Nyamhanga alikuwa TAMISEMI akitokea TANROAD simuoni jamani hebu nitafutieni kwenye list siamini nikazianze bia usiku huu
huyu Dotto James Mgosha tumpeni muda, Mama anatumia busara bado
Kula bia mkuu, huyo jamaa amekalishwa kwenye dole gumba! Hayumo!
 
Magufuli alikuwa anamsikiliza sana Mchembe. Hata idea ya kupima mapapai Coronavirus ni Mchembe ndo aliitoa. Mchembe ndo alisababisha hadi Magufuli akadharau Corona. Mchembe alimwambia Magufuli Coronavirus ni mafua makali tu. Si hatari.
Tulia basi ulale! Yani unatoa siri za mwezi may 2020! Wanawake nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…