KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Huyo Mchembe (Mchamba) anabeba mzigo mzito sana kichwanini mwake.Mchembe Out. Ila Mama Samia naona alichukia sana Mchembe kuficha kifo cha Magufuli. Doto nae kaponea chupuchupu.
Kamsababishia kifo mtu aliyetakiwa kumpa ushauri makini.
Maisha yake yote atakuwa analijutia sana hili.