barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Yaani kama uliwekwa benchi na Jpm alafu sasa ukateuliwa, bavicha wanashangilia...Siyo Muhongo tu Chenge akipewa cheo watapiga makofi
Unamlaumu bure anafanya kazi kwa maelekezoMsigwa naye kaonewa huruma tuu!
Wala waislam hawataki achague waislm watupu wanachotaka usawa haupingiki huu hata ukija na ngojera za sijui wapagani no no bongo asilimia ni waislam na wakristo wanahitaji hakisawa..Kuna tatizo kwani? Em teseme amechagua waislamu watupu wewe kama wewe utafaidika nini???
Ndio mkuuKilaba yule mu AIC..?
Doh.. Nilisahau kama namsema mungu wakoWewe umejuaje kama sio unafiki
Sasa kati ya Abasi na msigwa nani bosiNi katibu mkuu wizara ya habari sanaa na michezo
Prof. Abel Makubi ndiyo alikuwa Mkurugenzi wa Bugando na baadaye CMO... Usiwachanganye.Alikuwa CMO= Chief Medical Officer, Kabla ya hapo Mkurugenzi Mtendaji wa Bugando Medical Centre.
Naona hii ni saini ya mwisho ya ndugu Msigwa, kabla ya kwenda idara ya MaelezoRais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali.
=======
Baadhi ya mabadiliko
-Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania, nafasi aliyowahi kuitumikia kabla na uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli.
-Erick Hamis ameteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa bandari baada ya aliyekuwa mkurugenzi wake, Deusdedith Kakoko kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi
-Gerson msigwa ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Hassan Abbas ambae amebakia na nafasi yake ya katibu mkuu wizara ya habari. Kabla Msigwa alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu
-Dkt. Jabir Kuwe ameteuliwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Eng. Kilaba.
View attachment 1743522
View attachment 1743523
View attachment 1743524
Imagine kina Dotto, Abas et al wanadunda tuuWatu wanazunguka tu walewale wanabadilishana tu vyeo na wizara.
Jamaa mitandao itamtoa kazini, asali sala ya mwishoJumanne atatupatia muelekeo wa Ndugulile bila shaka
Mtu chake bwana.Uko macho ukisikia jina la Abel makubi haha
Makonda hayupo tena,nyota inazidi kufifia.Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali.
=======
Baadhi ya mabadiliko
-Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania, nafasi aliyowahi kuitumikia kabla na uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli.
-Erick Hamis ameteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa bandari baada ya aliyekuwa mkurugenzi wake, Deusdedith Kakoko kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi
-Gerson msigwa ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Hassan Abbas ambae amebakia na nafasi yake ya katibu mkuu wizara ya habari. Kabla Msigwa alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu
-Dkt. Jabir Kuwe ameteuliwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Eng. Kilaba.
View attachment 1743522
View attachment 1743523
View attachment 1743524
Abasi ndie bosi,katibu mkuu na mkuu wa idara unadhani nani boss? naona mama anafagia timu ya zamani.Sasa kati ya Abasi na msigwa nani bosi
Kashuka vibaya.Hapa Msigwa kapanda au kashuka..which is better
Habari zake nyingi ni za ukweli na pia ni Whistle blowerDoh.. Nilisahau kama namsema mungu wako
Mmoja Mifugo,mwingine Uvuvi.Kwanini Wizara ya Mifugo ina makatibu wakuu wawili na hakuna naibu?
Nchi yetu tunahitaji kujenga taasisi siyo huu ujinga wa kila atakayekuja anatengeneza na kupanga watu wake, ni ngumu sana kuendelea na kupata maendeleo kama taifa
Ni kweli. Nimechanganya files. Thank you for the corrections.Wewe unamuongelea Makubi. Mchembe alikuwa katibu mkuu wizara ya afya.