Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Kuna tatizo kwani? Em teseme amechagua waislamu watupu wewe kama wewe utafaidika nini???
Wala waislam hawataki achague waislm watupu wanachotaka usawa haupingiki huu hata ukija na ngojera za sijui wapagani no no bongo asilimia ni waislam na wakristo wanahitaji hakisawa..
 
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali.

=======

Baadhi ya mabadiliko

-Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania, nafasi aliyowahi kuitumikia kabla na uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli.

-Erick Hamis ameteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa bandari baada ya aliyekuwa mkurugenzi wake, Deusdedith Kakoko kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi

-Gerson msigwa ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa idara ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Hassan Abbas ambae amebakia na nafasi yake ya katibu mkuu wizara ya habari. Kabla Msigwa alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu

-Dkt. Jabir Kuwe ameteuliwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Eng. Kilaba.

View attachment 1743522
View attachment 1743523
View attachment 1743524
Naona hii ni saini ya mwisho ya ndugu Msigwa, kabla ya kwenda idara ya Maelezo
 
Makonda hayupo tena,nyota inazidi kufifia.
 
Tutapiga mark time sana kwa katiba hii mfumo huu uliojichokea.
Waliochabaki nacho raia "fulani mtu sana", "fulani jembe", "mkunaji amepata upele" "fulani kaula" na blah blah nyingine nyingi zisizo na kichwa wala miguu kwa miaka yote.
Nchi yetu tunahitaji kujenga taasisi siyo huu ujinga wa kila atakayekuja anatengeneza na kupanga watu wake, ni ngumu sana kuendelea na kupata maendeleo kama taifa
 
Back
Top Bottom