[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Na lile sauna pale Muhimbili walitoe walipeleke kw wakorea malaya wawafanyie watu massage
Kwani Matarajio katolewa,basi bomba linarudi Kenya,hii nchi hiiAngalizo
Pale TPDC aliyewekwa ana ujuzi upi? isiwe mambo binafsi yamemtoa aliyepo maana panahitajika wanaoweza ku-negotiate mambo ya gesi kwa maslahi ya nchi! Dr Matarajio kafanya lipi baya? Au atakuwa kizingiti cha wanawania vitalu?
Lakini majukumu ya bwana msigwa yanamhitaji kuwa pale MagogoniKashuka vibaya.
Simuoni Arch Mwakalinga kwenye orodha mpya kulikoni? naona empire inasafishwa.Kumekucha kumekuchaaaa. Chato empire mtaambia nini watu?
Unamaanisha TASAC?Meneja Mkuu wa Kampuni ya Huduma za Meli Eric Hamisi ndiye Mkurugenzi Mkuu wa TPA sasa.
Uko sahihi.Prof. Abel Makubi ndiyo alikuwa Mkurugenzi wa Bugando na baadaye CMO... Usiwachanganye.
Mkuu wale wapendwa wa jiwe mmoja mmoja anapukutishwa.Kwani Matarajio katolewa,basi bomba linarudi Kenya,hii nchi hii
Ujinga wa kiwango cha juuSasa kuna hao ambao wanadai msigwa kashuka cheo, akili za masikini ni kutaka kuona wanakusanyana wengi chini kupeana moyo sijui au warogane vizuri...
Tumngoje mr Polepole kuchukua nafasi hiyo?Mkurugenzi mkuu wa ikulu utaletewa baadaye. Huyo Gerson anaenda pale maelezo kusoma magazeti na tweets kisha ana retweet. Upo mchato wewe!
Mmoja uvuvi na mwingine mifugo.Kwanini Wizara ya Mifugo ina makatibu wakuu wawili na hakuna naibu?
wakanda foleverOhoooo. Mchembe na Doto James wamepona?
bado RCs anaweza kupata..... lkn alisema kuwa unaweza kuwa na cheo kikubwa lkn nikakuzidi kwa kila kitu, hata wakubwa zako wananitambua including mama alipokuwa VP.. ...............Makonda ana makando kando mengi ya kumponzaMakonda hayupo tena,nyota inazidi kufifia.
Nahisi mmoja mifugo, mwingine uvuviKwanini Wizara ya Mifugo ina makatibu wakuu wawili na hakuna naibu?
Nikweli haya ni mambo ya kijinga sana, tutabaki hapa hapa tu.......imekuwa sifa ya panga pangua......sitegemei jipya sana, yataendelea yaleyale tuTutapiga mark time sana kwa katiba hii mfumo huu uliojichokea.
Waliochabaki nacho raia "fulani mtu sana", "fulani jembe", "mkunaji amepata upele" "fulani kaula" na blah blah nyingine nyingi zisizo na kichwa wala miguu kwa miaka yote.
Maria Sarungi na Paschal Mayala watauana huko kwa waganga mwezi huu😂😂😂Nafasi ya Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu ipo wazi. Kuna mtu atateuliwa kuziba pengo.
Tulia uongozwe, wewe huna haki ya kupanga nani awe nani kwenye system.Doto James amefanya ya maajabu huko alikuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki, hapa umechemsha sana.
G Msigwa sio wa Magufuli?Angalau 'comical' Abbas wa Magufuli kaondolewa hapo!
Ubongo hauko sawaWakristo watupu! Samia ni takataka nyingine.