Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Makonda hayupo tena,nyota inazidi kufifia.
bado RCs anaweza kupata..... lkn alisema kuwa unaweza kuwa na cheo kikubwa lkn nikakuzidi kwa kila kitu, hata wakubwa zako wananitambua including mama alipokuwa VP.. ...............Makonda ana makando kando mengi ya kumponza
 
Tutapiga mark time sana kwa katiba hii mfumo huu uliojichokea.
Waliochabaki nacho raia "fulani mtu sana", "fulani jembe", "mkunaji amepata upele" "fulani kaula" na blah blah nyingine nyingi zisizo na kichwa wala miguu kwa miaka yote.
Nikweli haya ni mambo ya kijinga sana, tutabaki hapa hapa tu.......imekuwa sifa ya panga pangua......sitegemei jipya sana, yataendelea yaleyale tu
 
Nasubiria sasa list ifuatayo

1: RCs
2: Mabalozi
3: RAS
4: DCs
5: DAS
6: DEDs

Yaani hapo serikali itakaa safi kabisa.. Watu wenye sifa sifa kama Chalamila, Sabaya & wenye similar worst behaviours, wajiandae tu mapema. Huwezi kuwa na watu wa ajabu ajabu katika utumishi wa umma kama hao.
 
Back
Top Bottom