Jinikashkash
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 455
- 871
Ni mbeleko yako Nini maana si kwa povu hili!Angalizo
Pale TPDC aliyewekwa ana ujuzi upi? isiwe mambo binafsi yamemtoa aliyepo maana panahitajika wanaoweza ku-negotiate mambo ya gesi kwa maslahi ya nchi! Dr Matarajio kafanya lipi baya? Au atakuwa kizingiti cha wanawania vitalu?
Yule ni kilaza. Atarudishwa Wazara ya Viwanda kwenda kusoma magazeti tu.Mhede kaharibu biashara +++
Nenda Tunduma, nenda Arusha.
Kwa Sera zake za mitulinga zaidi akili kidogo za kufungia watu biashara zao. Alishawahi kufungia account za kampuni yetu mbili. Very stupid guy. Kampuni ikawa haiwezi hata kununua mafuta au umeme au hata maji ya kunywa.
Ndo zilikua akili za Jiwe hizoYule ni kilaza. Atarudishwa Wazara ya Viwanda kwenda kusoma magazeti tu.
Hapo kazi haitafanyika siku Simba wana mechiManara anaenda kuwa mkurugenzi mawasiliano ikulu
Mkome kutuletea ukabila na udini! Hivyo vitu si my by sehemu ya cvMna matatizo. Sijaona mnyakyusa hapo ila hawalalamiki na ni kabila kubwa hapa tz.
Una uhakika unachokisema? Unajua karibu 90% ni wale wale wa Jemedari Magufuli?Kuimba kupokezana ndugu. Kipindi "ULIPO TUPO" wanaulizia CV za wateule nyinyi "MATAGA" Mlikuwa kimya mnakunywa juisi kwa mrija[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Zamu yao tena kuulizwa kama hivi.
Magu regime is no more, sasa wacha tulepo na wengine[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa conscious wewe wacha ushamba ni uhakika UPI unaoutaka? Huna akili ukajionea? Kwann umweke mjomba kwenyefedha?? Kujengajenga mavitu tele nyumbani mradi chato iwe mkoa? Ukiacha Dodoma hamna sehemu imekula kodi zetu kama chato!! Yeyote mwenye akili timamu anaelewa isipokuwa mapuuzi mazabizabina machache ambayo hutetea kilakitu hayana uzalendo yanachojua kujipendekeza!!Una uhakika na ulichokiandika au umesimuliwa? Au umechota maneno kutoka kwa nabii wenu gogoki?
Sijui kama naye ni 'comedian' kama 'comical' Abbas wa Magufuli!G Msigwa sio wa Magufuli?
Shida ya vijana wa siku hizi mnapenda sana kutanguliza matusi. Hiyo vurugu mechi itatokq wapi wakati kila mmoja anajikita katika Mambo yanayohusu wizara yake. Matokeo ya mfumo wa sasa ni mawaziri kuwa wasemaji wa wizara na kusababisha hizo vurugu mechi.Kila wizara ina Msemaji wake ila Msemaji mkuu anabaki mmoja la sivo itakuwa vurugu mechi kama kila mmoja atatoka ajisemee!? Wacha utani mzee kama vitu hujui kaa kimya!
Viongozi walioko juu hasa Rais ndio mwanga au giza kwenye maisha yako ya kila siku hata ujibidue vip wakiwa wabovu hauwezi kufanikiwa, kwahiyo ipo sababu za kushangilia au kununa kutoka na uteuzi uliofanywa, kama unadhani kufuatilia hakuna maana subiri uone maisha yatavyobadirika kwa hali yoyote ile hayatafanana na ya JPM, yaweza kuwa mazuri au mabaya ila matarajio yetu tuliowengi ni yawe mazuri.Najua ni mahitaji ya lazima ya sasa ila naona kama NCHI, tunatumia muda mwingi kuteua, kuapisha na kujadili nyazifa za wanasiasa na watendaji wa serikali. Haya mambo ukiyatafakari sana utagundua hayatuongezei tija kihivyo na yanatupotezea muda na kutuingiza gharama nyingi zisizo na maana sana.
Ila huo ni mtazamo wangu tu.
Ma.tako mwenyeweAkili za wavaa sendo ni matako sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaani ulichokua unakagua ni hicho tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtakojoa mchicha.
Amina mtu wa Mungu ππΉπΏβ₯οΈπWengi wameanza kubweka baada ya JPM kuondoka, bado JPM atabaki mwamba hata mufanyeje kama ilivyokuwa kwa Nyerere basi ndivyo kwa JPM hakuna wa kumlinganisha naye itachukua miaka mingi sana labda kizazi kingine.
Probably you are the one.Wanaomchukia Doto James naona jamaa bado atawapa tabu sana.
I don't like the guy... Anyway we rise to fall
Hongera mama yetu, tuna/ninakuombea utuongoze vyema[emoji176][emoji176]
Huyo mwenye uzoefu wa sales ndiye aliyeonekana kufaa TRA akishindwa itathibitika na ataondolewaMAMA SAMIA AMETUMIA VIGEZO GANI KUMRUDISHA KIDATA TRA WAKATI ALIKUWA NDO FAILURE PALE. JE HUYU THOBIAS RICHARD MWENYE UZOEFU WA SALES NDO UMEMPA TPA-SERIOUS? NADANHI SIKU YAKUAPISHA TUNATAKA MAELEZO.
ASANTE
Eeh mambo pambe kama hayo ndio tunataka kusikiaπΈ! Sio wapuuzi kubaki mitamboni ili kutuumiza raiaNaona mkurugenzi TCRA (wazee wa kupandisha Data bando ) kaliwa kichwa nae !
Ndungulile is typing.... !