Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Mhede kaharibu biashara +++
Nenda Tunduma, nenda Arusha.
Kwa Sera zake za mitulinga zaidi akili kidogo za kufungia watu biashara zao. Alishawahi kufungia account za kampuni yetu mbili. Very stupid guy. Kampuni ikawa haiwezi hata kununua mafuta au umeme au hata maji ya kunywa.
Yule ni kilaza. Atarudishwa Wazara ya Viwanda kwenda kusoma magazeti tu.
 
Kuimba kupokezana ndugu. Kipindi "ULIPO TUPO" wanaulizia CV za wateule nyinyi "MATAGA" Mlikuwa kimya mnakunywa juisi kwa mrija[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Zamu yao tena kuulizwa kama hivi.

Magu regime is no more, sasa wacha tulepo na wengine[emoji23][emoji23][emoji23]
Una uhakika unachokisema? Unajua karibu 90% ni wale wale wa Jemedari Magufuli?
 
Una uhakika na ulichokiandika au umesimuliwa? Au umechota maneno kutoka kwa nabii wenu gogoki?
Kuwa conscious wewe wacha ushamba ni uhakika UPI unaoutaka? Huna akili ukajionea? Kwann umweke mjomba kwenyefedha?? Kujengajenga mavitu tele nyumbani mradi chato iwe mkoa? Ukiacha Dodoma hamna sehemu imekula kodi zetu kama chato!! Yeyote mwenye akili timamu anaelewa isipokuwa mapuuzi mazabizabina machache ambayo hutetea kilakitu hayana uzalendo yanachojua kujipendekeza!!
 
Kila wizara ina Msemaji wake ila Msemaji mkuu anabaki mmoja la sivo itakuwa vurugu mechi kama kila mmoja atatoka ajisemee!? Wacha utani mzee kama vitu hujui kaa kimya!
Shida ya vijana wa siku hizi mnapenda sana kutanguliza matusi. Hiyo vurugu mechi itatokq wapi wakati kila mmoja anajikita katika Mambo yanayohusu wizara yake. Matokeo ya mfumo wa sasa ni mawaziri kuwa wasemaji wa wizara na kusababisha hizo vurugu mechi.

Kama vitu hujui usikimbilie kuwaambia wanao vijua wakae kimya.

Amandla...
 
Najua ni mahitaji ya lazima ya sasa ila naona kama NCHI, tunatumia muda mwingi kuteua, kuapisha na kujadili nyazifa za wanasiasa na watendaji wa serikali. Haya mambo ukiyatafakari sana utagundua hayatuongezei tija kihivyo na yanatupotezea muda na kutuingiza gharama nyingi zisizo na maana sana.

Ila huo ni mtazamo wangu tu.
Viongozi walioko juu hasa Rais ndio mwanga au giza kwenye maisha yako ya kila siku hata ujibidue vip wakiwa wabovu hauwezi kufanikiwa, kwahiyo ipo sababu za kushangilia au kununa kutoka na uteuzi uliofanywa, kama unadhani kufuatilia hakuna maana subiri uone maisha yatavyobadirika kwa hali yoyote ile hayatafanana na ya JPM, yaweza kuwa mazuri au mabaya ila matarajio yetu tuliowengi ni yawe mazuri.
 
Akili za wavaa sendo ni matako sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaaani ulichokua unakagua ni hicho tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtakojoa mchicha.
Ma.tako mwenyewe

Kama mtu mmoja kaongea upuuz ndiyo ikufanye ukashifu kundi zima lisilo husika??

Mchele mchele ww...
 
Wengi wameanza kubweka baada ya JPM kuondoka, bado JPM atabaki mwamba hata mufanyeje kama ilivyokuwa kwa Nyerere basi ndivyo kwa JPM hakuna wa kumlinganisha naye itachukua miaka mingi sana labda kizazi kingine.
Amina mtu wa Mungu ๐Ÿ˜๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโ™ฅ๏ธ๐Ÿ‘
Tuendelee kuliombea taifa letu hata sasa๐Ÿ™
 
Wanaomchukia Doto James naona jamaa bado atawapa tabu sana.
I don't like the guy... Anyway we rise to fall

Hongera mama yetu, tuna/ninakuombea utuongoze vyema[emoji176][emoji176]
Probably you are the one.
Who knows?But you can't take the public money like your Uncle's.
He (you) must end in prison. The storm is not over.
 
MAMA SAMIA AMETUMIA VIGEZO GANI KUMRUDISHA KIDATA TRA WAKATI ALIKUWA NDO FAILURE PALE. JE HUYU THOBIAS RICHARD MWENYE UZOEFU WA SALES NDO UMEMPA TPA-SERIOUS? NADANHI SIKU YAKUAPISHA TUNATAKA MAELEZO.
ASANTE
Huyo mwenye uzoefu wa sales ndiye aliyeonekana kufaa TRA akishindwa itathibitika na ataondolewa
Mwacheni rais afanye kazi zake
 
Back
Top Bottom