Makubi katibu mkuu wizara ya Afya. Makubi kapanda cheo. Mchembe ndo out.Mchembe na Makubi kwaheri. Ila naona kama Dotto kaponea vile
Ni kwamba hujui kusoma?Mchembe na Makubi kwaheri. Ila naona kama Dotto kaponea vile
Makubi mtu poa sana.Akalete ujinga kama wa Nchembe aone moto. Unampigisha Rais nyungu!
Ngoja tuone hii reform ila lazima aendane na uhalisia wa dunia. Nyungu mwisho ChatoMakubi mtu poa sana.
Sikutegemea kabisaDotto duh
Huo ndio mlango wa kutokeaWanaomchukia dotto James naona jamaa bado atawapa tabu sana.
I don't like the guy... Anyway we rise to fall
Hongera mama yetu, tuna/ninakuombea utuongoze vyema💓💓
Yani mtu kafa tarehe 7 tena ndani ya Ikulu ya Dar wao wakakimbiza Makumbusho kwenda kufungia pump. Shubamitt! Msigwa naye kaonewa huruma tuu!Mchembe Out. Ila Mama Samia naona alichukia sana Mchembe kuficha kifo cha Magufuli. Doto nae kaponea chupuchupu.