Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Si mpaka ushahidi uwepo??
Au nyinyi mna ushahidi tayari?
Kama uchunguzi unaendelea mnataka ahukumiwe kabla ya ushahidi kukamilika?
Watanzania siku zote wanaongozwa na chuki , MTU wakimchukia wao basi hastahili kupata haki,wanatoa hukumu
 
Maza kazingua. Huyu hawezi kuwa DG wa TPDC hata iweje. Sekta ya Petroleum na Gesi ni future backbone ya nchi na ikizingatiwa ndio kwanza tuko negotiation phase ya kuijenga sekta hiyo. Huu ni usanii katka uteuzi.
 
Mama alianza na wakubwa wa wizara, kashuka watendaji wa wizara na idara, muda si mrefu anaweza kachenjua na kina Chalamila na maDC na wengineo...

Hapo ndio utashangaa kuona kina Makonda wanarejeshwa kama huyo jamaa wa TCRA
 
narudia tena nadhani hii miaka 5 inaweza kua migumu kuliko hata ile ya raisi aliepita....


Kwa hesabu zipi?!

Nazani yatupasa kuwa na imani na Rais Samia atatufikisha mahala mazuri zaidi.

Tumpe muda kidogo hapa ni Mwanzo tu tusianze kukatishana tama kwa utabiri hasi.

Rais Samia anaweza tumuunge mkono.
 
Kazaliwa 87[emoji1][emoji16]

Umri siyo hoja anaweza kuwa wa mwaka 1987 na digrii moja safi. Akawa amemaliza chuo kikuu tajwa-ulimwenguni akiwa umri miaka 21 au 23 moja kwa moja akaingia kazini ngazi ya kati na kupata uzoefu miaka 10+ nchi mbalimbali mashirika makubwa n.k

Kuwa Mkurugenzi Mtendaji umri miaka 33 ukiwa na vigezo vyote unafaa kupewa nafasi.

Ila huyu hatuangalii umri bali uzoefu na mapito yake katika kazi haioneshi cheo hiki atakimudu.
 
Kwanza shika adabu yako huyo mama sio mpemba ni ni mmakunduchi
 
Mama is very smart, Kufanya Complete Overhaul kwa system italeta instability, Anaenda mdogo mdogo mwisho makapi ya mwendazake yatajikuta nje ya ulingo, Ameanza kuwaondoa sehemu sensitive
 
Kulikuwa na nini mpaka aka traverse sehemu zote hizo na Magu wake?

1. PS ardhi
2. Kamishina TRA
3. KMK Ikulu
4. Balozi Canada
5. Kuvuliwa ubalozi
6. RAS Mtwara
7. Kamishina wa TRA tna
 
Yes,mwanzo alikua msemaji mkuu,akapandishwa cheo kuwa katibu mkuu baada ya uchaguzi wa 2020,lakini akaambiwa ataendelea kuwa msemaji mkuu
Msigwa ndio amepanda cheo kwa kuwa msemaji mkuu
Msigwa amepanda cheo!? Hahaha

Mwenzako anatoa machozi huko. Ikulu ndio bye bye.

Hakuna demotion mbaya kuwahi kutokea kama hiyo ya Msigwa. Hata Bashiru ana nafuu.
 
Aiseee siungi mkono CV ya mrithi wa mataragio...Nilitegemea meithi wa mataragio awe competente zaidi ya Mataragio au zaidi!

Bila shaka kutakuwa na shida sehemu!

“CCM mbele kwa mbele”
Wanaccm mkiwa kama hivi inapendeza sana. Sijui huwa mnakwama wapi.
 
Sitaki kuamini kama huyu ndo mbadala wa Mataragio pale TPDC
Hata mimi nilipoona tu huo uteuzi...

Nikatafakari hivi huyu bwana mdogo kapelekwa TPDC kwa sababu za kichama au CV yake imemzidi mzee Mataragio au jamaa ni kitengo maalumu???
 
Una uhakika unachokisema? Unajua karibu 90% ni wale wale wa Jemedari Magufuli?
Utsona watakavyo msigina jamaa sasa!
Kuwateua yeye si kwamba walikuwa wanakubaliana naye 100%. Wengi waliokuwa idara nyeti wote hawapo. Leo ulikuwa unaamnini Kigwa atajitokeza kupinga nyungu na kutaka iingie chanjo wakati kipindi kile ndo alikuwa msitari wa mbele kuitetea?? Vipi kuhusu Nape, Kauli ya Gambo na akina Mgwira???

Mambo ya jamaa hayapo tena nchini, is no more, na anaweza kusahaulika mapema sana.
 
Mataragio applied for the job, huyu sijui yeye kapatikana kwa utaratibu upi! Naamini kama naya angeomba na kushindanishwa na wataalamu na wazoefu wengine asingepenya.
 
Kulikuwa na nini mpaka aka traverse sehemu zote hizo na Magu wake?

1. PS ardhi
2. Kamishina TRA
3. KMK Ikulu
4. Balozi Canada
5. Kuvuliwa ubalozi
6. RAS Mtwara
7. Kamishina wa TRA tna
Hajawahi kuwa KMK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…