Mbunge Wa Kitaa
Senior Member
- May 25, 2014
- 122
- 118
Lazima tuhoji, nchi yetu sote na sisi ndiyo wenye nchi.Bandiko langu limejificha kidogo
Nilimaanisha kuwa hawa watu wa system cv zao hazieleweki,wakati mwingine ni very shallow
Naamini aliemuweka pale ana sababu nzito sana ambazo bahati mbaya hatuna nguvu ya kuzihoji