Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Ataishi kwako mkuu. Hakutaka watu waheshimike tz. Alitumia unyonge wa watz kujiimarisha. Alitesa sana watu, Mungu akamchukua mapema
 
Kama alivyo Mama nyumbani anapenda toto jinga ila naanza kupata wasiwasi na Mama Khaaayaaani uchumi wa mafuta na gesi unamuweka kada tena kinda kbs hana uzoefu labda iwe ni chochoro ya kupitisha deal za wakubwa
Mama naona kachaguliwa watu yeye akasaini tu...
Tena walimpa asaini wakati anaongea na simu na ndugu zake wa zanzibar...akasaini fasta
 
Watu wanazunguka tu walewale wanabadilishana tu vyeo na wizara.
Kweli kabisa Mkuu. Mvinyo ni ule ule tunabadilishiwa tu chupa na lable. Halafu tunashangilia eti kinywaji kipya[emoji41][emoji41]
 
Leo ndiyo nimeamini kweli kazi ya Urais ni ngumu. Si ngoma ya lelemama hii.
 
Edwin P. Mhede amepelekwa wapi?Jamaa amepga kazi nzuri Sana pale TRA
SIJAJUA KWANINI WAMEMUONDOA WAKATI KAJITAHIDI..ITABIDI ARUDI VIWANDA NA BIASHARA ALIPOKIWA
Doto James amefanya ya maajabu huko alikuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki, hapa umechemsha sana.
Tatizo lake ni lipi au kwa kuwa ni mtoto wa dada basi ni kosa?Mbona hata yeye kateua mkwe wake kuwa waziri wa utawala bora
 
Hivi ni kwanini huyu jamaa Mwesiga anaonekana kupata resistance sana kwenye nafasi alioteuliwa tatizo ni nini?
 
Hivi ni kwanini huyu jamaa Mwesiga anaonekana kupata resistance sana kwenye nafasi alioteuliwa tatizo ni nini?
Eti cv yake haijakaa poa
Na hana uzoefu wa masuala hayo

Ova
 
Hivi ni kwanini huyu jamaa Mwesiga anaonekana kupata resistance sana kwenye nafasi alioteuliwa tatizo ni nini?
Mh RAIS Kamati yako inayokuletea Majina INAKUHUJUMU haiwezekani Shirika Kubwa kama TPDC likaongozwe na Mtu ambaye Hajawahi kuongoza Hata SACOOS ukizingatia Kuna Watendaji Ndani Ya Shirika Waliobobea kwenye mambo ya Mafuta Ktk Teuzi Mbovu ni pamoja na Huyo Mteule
 
Mama kwa kweli hata mie ananishangaza baadhi ya maeneo. Kama jafo inasemekana kaishindwa tamisemi unamuweka umi? Tamisemi sio corona
Kila anaewekwa siye, mfano huyo Ummy mmeanza na masuali hata bado kuanza kazi mkaona hiyo performance yake itakuaje.

Basi tusubiri mteule kutoka mbinguni labda.
 
Eti cv yake haijakaa poa
Na hana uzoefu wa masuala hayo

Ova
Lakini uzoefu unapatikana wapi ndugu zangu? si ni lazima mtu upate kazi ndipo uzoefu uje sasa kama hawamtaki mwenye uzoefu wanafikiri uzoefu unazaliwa nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…