Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Simjui jamaa ila sitaki kumhukumu mnamuona hana cv masna siku hizi wasomi ni wengi ila ujue kipindi tunapata uhuru tulikuwa na mkuu waajeshi darasa la nne .viongozi wengi hawakuwa na cv ila nchi ilienda
Mambo ya kienyeji yaliyofanyika 1963 hayafai kufanyika 2021
 
Hiki kigezo cha uzoefu kinatakiwa kiondolewe kabisa kinawanyima fursa watu wenye uwezo mkubwa sana
Kuna baadhi ya maeneo uzoefu lazima uwepo. Mfano mkuu wa TPDC uzoefu lazima haijalishi kusema umezungukwa na wenye uzoefu, nawe lazima uwe ma uzoefu. Hivi ina maana Rais hakuona hata wasaidizi wa aliyekuaga bosi akawapromote?
 
Lakini uzoefu unapatikana wapi ndugu zangu? si ni lazima mtu upate kazi ndipo uzoefu uje sasa kama hawamtaki mwenye uzoefu wanafikiri uzoefu unazaliwa nao?
Kuna kazi za kupatia uzoefu, lakini sio ukurugenzi wa shirika nyeti kama la mafuta. Nimeona sehemu kijana kazaliwa mwaka 1987, inabidi awe mtu special sana kuweza kuendesha shirika nyeti kama lile.
 
Kimsingi mama hajaacha mtu ila amewahamisha tu baadhi ila naona kama huyu Dotto anasakamwa sana sasa sijui Kulwa wake anajisikiaje huko
 
Nimesoma comments as wachangiaji, inaonekana Dotto James ni mtu hafai kabisa.

Alikalia haki za watumishi wa umma, madai yao ya malimbikizo n.k, inaonekana hakufaa kabisa kurudishwa ktk nafasi ya ukatibu,
 
Edwin P. Mhede amepelekwa wapi?Jamaa amepiga kazi nzuri Sana pale TRA
Nimeshangaa lakini kwa kuwa ameshauriana na aliekuwa waziri wa fedha ambae kwa sasa ndio makamu, hivyo sishangai hili panga kwani chimbuko lake tushalijua
 
Uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa TPDC mama kaingizwa shimoni, pale TPDC hakuna watu wenye sifa?
 
Sio wote ila kuna wengine diplomasia nyingi na michakato mingi inayokwamisha ufanyaji maamuzi magumu. Ok, tumpe muda ummy, ila kama atakua na ile staili yake ya uongozi bila kubadilika tamisemi itamshindwa saa mbili asubuhi...ile wizara inataka mchakchaka na sio kuremba...naamini atakuja na staili tofauti!
Tusirajie staili mpya kwa Ummy, huyu Ummy alivuma kipindi cha Covid phase 1 kutokana na Misimamo ya Boss wake tu ila naamini hakuwa na kubwa zaidi na hivohivo Tamisemi hatoboi
 
Back
Top Bottom