Wait next episode....Dokta Abas na Nyamhanga siwaoni
Mambo ya kienyeji yaliyofanyika 1963 hayafai kufanyika 2021Simjui jamaa ila sitaki kumhukumu mnamuona hana cv masna siku hizi wasomi ni wengi ila ujue kipindi tunapata uhuru tulikuwa na mkuu waajeshi darasa la nne .viongozi wengi hawakuwa na cv ila nchi ilienda
Kuna baadhi ya maeneo uzoefu lazima uwepo. Mfano mkuu wa TPDC uzoefu lazima haijalishi kusema umezungukwa na wenye uzoefu, nawe lazima uwe ma uzoefu. Hivi ina maana Rais hakuona hata wasaidizi wa aliyekuaga bosi akawapromote?Hiki kigezo cha uzoefu kinatakiwa kiondolewe kabisa kinawanyima fursa watu wenye uwezo mkubwa sana
Mbona kwenye list haonekani??Viwanda na biashara
Kafanya kazi wapi?Masters Degree aliyochukulia UDOM inambeba
Kuna kazi za kupatia uzoefu, lakini sio ukurugenzi wa shirika nyeti kama la mafuta. Nimeona sehemu kijana kazaliwa mwaka 1987, inabidi awe mtu special sana kuweza kuendesha shirika nyeti kama lile.Lakini uzoefu unapatikana wapi ndugu zangu? si ni lazima mtu upate kazi ndipo uzoefu uje sasa kama hawamtaki mwenye uzoefu wanafikiri uzoefu unazaliwa nao?
Ukitaka Official zaidi nenda UDOMTupe link tuone
Nimeshangaa lakini kwa kuwa ameshauriana na aliekuwa waziri wa fedha ambae kwa sasa ndio makamu, hivyo sishangai hili panga kwani chimbuko lake tushalijuaEdwin P. Mhede amepelekwa wapi?Jamaa amepiga kazi nzuri Sana pale TRA
Kumbeba kuwa DG sio? Au unadhani ukuu wa wilaya huoMasters Degree aliyochukulia UDOM inambeba
Kahamishiwa wizara ya michezoDr. Hassan Abbas kaliwa kichwa?
Your wish has been realised, haya nenda kamahukumu Mungu wako kwa hiloMbona kwenye list haonekani??
Kama anampenda angempa hata ukurugenzi wa halmashauri hauna effect sanakumbeba kuwa DG sio? au unadhani ukuu wa wilaya huo
Kapanda au kashuka??Msigwa kapandishwa cheo. Hongera!
Nje ya nini mkuu? Wakati Dotto kapelekwa viwanda?Dr. Abbas na Doto James nje.
Karudishwa aliekuwepo!Uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa TPDC mama kaingizwa shimoni, pale TPDC hakuna watu wenye sifa?
Tusirajie staili mpya kwa Ummy, huyu Ummy alivuma kipindi cha Covid phase 1 kutokana na Misimamo ya Boss wake tu ila naamini hakuwa na kubwa zaidi na hivohivo Tamisemi hatoboiSio wote ila kuna wengine diplomasia nyingi na michakato mingi inayokwamisha ufanyaji maamuzi magumu. Ok, tumpe muda ummy, ila kama atakua na ile staili yake ya uongozi bila kubadilika tamisemi itamshindwa saa mbili asubuhi...ile wizara inataka mchakchaka na sio kuremba...naamini atakuja na staili tofauti!