Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Kama Kweli Rais kaingizwa mkenge Kwa kuteua mtu aside sahihi kuwa Mkurugenzi
TPDC na kumtoa Anaefaa basi
Nashauri Rais atazame timu yake inayomletea majina... ikiwezekana aifukuze baadhi au awabadilishe wote
Mkuu Boss, hivi wasifu wa kitaaluma, kiustadi, weledi utaalamu na kiutendaji kwa wateule wa Rais aliyepita ulitusaidia nini kama taifa? Alitujazia maprofesa na madokta kibao ktk teuzi zake lakini walishindwa kabisa kumshauri vyema.

Nafikiri tunapaswa tuwape hawa wateule wapya wa Rais wa sasa 'benefit of doubt" ili kuweza kuthibitisha mashaka yaliyopo juu yao. Vinginevyo wanaweza kuja kuwa watendaji wazuri mno kuliko vile ambavyo tunawafikiria.
 
Nimesoma comments as wachangiaji, inaonekana Dotto James ni mtu hafai kabisa.

alikalia haki za watumishi wa umma, madai yao ya malimbikizo n.k, inaonekana hakufaa kabisa kurudishwa ktk nafasi ya ukatibu,
Umeshikiwa akili wewe ndio maana.
Yaani unathibitisha kabisa umesoma coments za watu alafu mawe based on those comments unafanya maamuzi. Wazazi wako wakadai pesa zao walizokutolea kwa ajili ya kunywa uji shuleni.
 
Matarajio amerudi TPDC amesikia kilio chenu ndugu zangu JF idumu milele
 
Reactions: Lee
Tpa sina shida jamaa anajiweza shida ni tpdc
Nimesoma na huyo jamaa UDOM kiukweli hafiti kabisa kwenye hiyo nafasi.
Kwanza hajatoka kwenye field ya mining and petroleum sasa hiyo ndo wa kukabana koo na ma CEO wa TOTAL..EXXON..BP nk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…