Hata DAS ni nafasi kubwa kwake, labda akasaidie huko kwenye utendaji kata.Amtafutie UDas utamfaa zaidi apambane huko kwanza TPDC ni kampuni kubwa yenye kubebba interest za nchi sio nafasi za ukada....jamaa anaenda kupambana na kampuni kubwa kama TOTAL, EXXON, BP , SHELL ambayo yameniaamarusha.
UbabeKwani tatizo la Doto ni lipi?
Labda ya kucheza mpiraEdwin P. Mhede amepelekwa wapi?Jamaa amepga kazi nzuri Sana pale TRA
Mkuu nilicomment hivi baada ya mleta nada kuleta habari mapema Sana bila kiambatanisho....baadae sijuhi ni mods waliweka attachment ya barua ya Ikulu!....nafurahi nimekula likes za kutosha tu, hahahaha 🤣Comment yako in like kama zote .ndo ujue wabongo sis wanafk kishenz...hata mi nmelike
Tatizo mnafuata matango pori ya kigogo na kuyaleta kwenye uhalisiaDoto James amefanya ya maajabu huko alikuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki, hapa umechemsha sana.
Kwanza atoke Fedha, huko Viwanda Biashara hakuna issue ni kelele tuKama watu waliona Magufuli kamteua kwa sababu ya undugu wao. Sasa Mama Samia kumrudisha inaonyesha alipewa kwa sababu ya UWEZO wake na sio undugu la sivyo kama angekuwa hana sifa angewekwa benchi!!
Acha kutumia hisia na kumuahiribia mwenzako heshima yake. Kama una ushahidi uweke hapa.Kwa wizi wa huyo jamaa alitakiwa asirudi kabisa...
Unaweza kuuthibitisha wizi wake?Kwa wizi wa huyo jamaa alitakiwa asirudi kabisa...
Mama amejitahidi kiasi chake ila kuna mmoja kamgusa alikuwa akiogopwa ila kalala nae mbele
Nilikuwa sijacheki, huyu alikuwa ndio boss wa Shirika la Marine Service Company Limited (MSCL).Kwani Erick Hamis amesoma nini baada ya degree ya kwanza? Najua degree yake ya kwanza ni Sociology ila huenda alijiendeleza na degree nyingine maana amekuwa pia banker na insurer kwa muda kabla ya mambo ya usafiri wa majini.
Dadeki hii michezo mibaya Sana, communication system bado ni ndogo Sana hasa kwenye succession planWatu wanazunguka tu walewale wanabadilishana tu vyeo na wizara.
[emoji23][emoji23]taambia mini watuKumekucha kumekuchaaaa. Chato empire mtaambia nini watu?
Ollotu vitu vingine kama huvijui kwanini usikae kimya? Sio lazima ujibu. Mama keshampangia Wizara ya Viwanda na Biashara patamfaa lakini tusubiriJamani kuhusu suala la Dotto kuchota fedha bila idhini ya bunge ni kwamba nyie hamjui kuwa bunge halihusiki na utolewaji wa fedha hazina , Bali mtendaji mkuu ambaye ni KM na watendaji wake hata waziri wa fedha sijui Kama Kuna pahali anasaini. Kinachofanyika bunge linaidhinisha bajeti kuu Mara moja tu mpaka msimu uieshe , Sasa ikishahizinisha Kuna kitu wanaita reallocation yaani kubadilishiwa matumizi fedha zilizoizinishwa na hapa bunge huwa halihusiki Bali lazma sheria ifuate.sasa inawezekana hata Kama bunge halikupitisha pesa za chato lakini walipitisha pesa zilizoamishwa kwenda chato, pia hazina na not ni taasis kubwa hakuna mtu anaweza chota pesa kirahisi mana Kuna signatories wengi, akiondoka Dotto basi hata watumishi wengi bot watasepa, etc
Sema wakati wa mzee zilifanyika reallocation nyingi Sana za bajeti basi
Achukie nini wakati katolewa kwenye fedha?Doto James naona yupo
Kigogo atachukia sana.
Yaani ye ndo anaetoa taarifa kabla ya pasaka halafu tena aone!Kigogo ameiona hii?
Heshimu maamuzi yangu tafadhal shubbbbbbat zako.Sasa weweeee[emoji849][emoji849]
Mbona una chuki na wivu wa kizembe hivyo? JPM ni hero wa 84% ya Watanzania wanampenda na wanaoomboleza kama wewe upo kwenye 16% hayakuhusu pita kushoto
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji813]️
Rest well our hero President John Pombe Magufuli [emoji885]
Nawe uheshimu yanguHeshimu maamuzi yangu tafadhal shubbbbbbat zako.