Jamani kuhusu suala la Dotto kuchota fedha bila idhini ya bunge ni kwamba nyie hamjui kuwa bunge halihusiki na utolewaji wa fedha hazina , Bali mtendaji mkuu ambaye ni KM na watendaji wake hata waziri wa fedha sijui Kama Kuna pahali anasaini. Kinachofanyika bunge linaidhinisha bajeti kuu Mara moja tu mpaka msimu uieshe , Sasa ikishahizinisha Kuna kitu wanaita reallocation yaani kubadilishiwa matumizi fedha zilizoizinishwa na hapa bunge huwa halihusiki Bali lazma sheria ifuate.sasa inawezekana hata Kama bunge halikupitisha pesa za chato lakini walipitisha pesa zilizoamishwa kwenda chato, pia hazina na not ni taasis kubwa hakuna mtu anaweza chota pesa kirahisi mana Kuna signatories wengi, akiondoka Dotto basi hata watumishi wengi bot watasepa, etc
Sema wakati wa mzee zilifanyika reallocation nyingi Sana za bajeti basi